Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Muda mwingine huwa tunawahurumia tu wasanii wetu ni vile wanavijimapato tu huwa wanaongea pumba tuIvi wizkid ndohuyu kiba alisema nimkubwa kuliko yy?
unataka ugomvi na watu ww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ivi wizkid ndohuyu kiba alisema nimkubwa kuliko yy?
Maneno ya sallam kondom hayoIvi wizkid ndohuyu kiba alisema nimkubwa kuliko yy?
Nani?Kashinda
Can you? anza kwa kumpigia kiba Ema tuoneTimu zinagawa Kura....ni time yakuwa kitu kimoja
Ntajitahdi kesho mkuu" namaanisha ninachokisemaCan you? anza kwa kumpigia kiba Ema tuone
Ilo halina ubishi me nilishangaa bet walipo mpa kahawa nyeuc hata ile mtv ema wampe tu jamaa yupo kwny ubora wkeIla kwa upande fulani kipindi hiki hizi tuzo Wizkid alikua anastahili tuache utani"
800million streaming worldwide on Spotify / number 1 track on Billboard charts damn this kid deserve bana.
[HASHTAG]#Starboy[/HASHTAG]
Hapana mkuu hayo ni maneno ya sallam sk na sio Ali kibaIvi wizkid ndohuyu kiba alisema nimkubwa kuliko yy?
Kila siku anatukana fans? Eeh leo katukana nini? Embu tujuze. Na jana na juzi pia embu tuambie mitusi aliyotukana?yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?
ASA kwann aligoma kuingia stejini ad wizkid apande?, AF Leo cha ajab kaanza yy, inamaana pale ye ndo dogo auHapana mkuu hayo ni maneno ya sallam sk na sio Ali kiba
Sio vyeti feki hivo?Ni ******** pekee alikua akiamini diamond angebeba tuzo leo na angepata halafu wizkid akose ningechana vyeti vyangu vyote kuanzia primary hadi chuo
mama yake hana shida yoyote ila yule mwanamke na account zake feki za kumtukana wema na hamisa zitamkost maisha.siku akikaa pembeni mond atakaa zake salama kama zamani
Hahahahahahahahahahakorrede kavaa ovaroll kwenye red carpet [emoji16]
Pamoja na nominations zote hizo na performance hujaona cha kusifia hata kimoja mkuu?? Ina maana wasanii wa tz wanafanya sifuri?KICHWA CHA MWENDAWAZIMU HATA KUIMBA MNARUDI SIFURI...