MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Ila kwa upande fulani kipindi hiki hizi tuzo Wizkid alikua anastahili tuache utani"
800million streaming worldwide on Spotify / number 1 track on Billboard charts damn this kid deserve bana.
[HASHTAG]#Starboy[/HASHTAG]
 
Miaka mitano ya nyuma tz hatukuwahi kuwa nominated kwa wingi namna hii,
But now, besides tuzo zilizokwisha letwa tz, kuna nominations za kutosha, yaani idadi ya wasanii wanaotambulika kimataifa inaongezeka ....
vijana wetu wanatajwa sana aisee, hii ni hatua kubwa sana (hii inamaanisha we can do it), jitahidini guys, next few years we are going to be the giant of the continent,
Hongera sana vijana wa bongo fleva,
Awaiting for bongo movie and football things.
Good bless my country Tanzania.
 
1477174716403.jpg

1477174742809.jpg
 
Ila kwa upande fulani kipindi hiki hizi tuzo Wizkid alikua anastahili tuache utani"
800million streaming worldwide on Spotify / number 1 track on Billboard charts damn this kid deserve bana.
[HASHTAG]#Starboy[/HASHTAG]
Ilo halina ubishi me nilishangaa bet walipo mpa kahawa nyeuc hata ile mtv ema wampe tu jamaa yupo kwny ubora wke
 
yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?
Kila siku anatukana fans? Eeh leo katukana nini? Embu tujuze. Na jana na juzi pia embu tuambie mitusi aliyotukana?
 
mama yake hana shida yoyote ila yule mwanamke na account zake feki za kumtukana wema na hamisa zitamkost maisha.siku akikaa pembeni mond atakaa zake salama kama zamani

Nani na account feki? Zitaje tuzijue basi.

Kama unamuongelea Zarinah, sidhani. Because amekutana na mengi kupita haya madogo ya watu ambao hata hashindani nao katika kusaka pesa.
 
Back
Top Bottom