MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Diamond kwishaaa chalii kabisa kifo cha mende tuzo izi zilikua muhimu sana kwa diamond kushinda ivyo kuzikosa inamaanisha sasa ustar umeanza kuota mbawa daa
 
Alikiba kaimba vizuri!! Truth be told, diamond nkama alikuwa akihema Sana!! Mengine ya suti Kubwa, cjui nini nawaachia Nyie, Ila kiba kaimba vizuri
Hizi ni simulizi za "mabao mwatufunga lakini chenga twawala...!" Ile haikuwa concert bali tukio la utoaji tuzo broda! Tumekosa tuzo; let's take it. Inauma manake tulikuwa na nominees wa kutosha mwaka huu kuliko mwaka mwingine wowote! Judgement ya tukio lile itakuwa nani katoka na tuzo ngapi; PERIOD! Hata hivyo, sababu za kukosa kwetu zipo wazi! Mtu kama WizKid kwa mwaka huu is too tough to compete not only with Diamond but anyone... hata ingekuwa Akon anayeiwakilisha Afrika USA; kwa mwaka huu asingeweza kusimama mbele ya Starboy! Techno was too TOUGH to Raymond! Ni "uonevu" usio na kifani kama si kumdahalilisha Yemi Alade kumshindanisha na Vanessa!

Kinachofurahisha ni kwamba, angalau tunajaza nominees... hii ni hatua kubwa sana kwetu kwa sababu inafahamika hata linapokuja suala la nominees; TZ tunakuwa nyuma sana!
 
me ni team kiba adui muombe njaa hongera wizkid kuchukua tuzo hakuna cha uzalendo hapa taifa ataliwakilisha maguf
 
binamuu upo..[emoji12] [emoji12] [emoji12]

poleni wenye team zenu kwa kukosa!!
 
Mimi ni KE, tuzo tumekosa,hapa tunadiscuss yaliyojiri, unaona??? Tukizungumzia live performance,, hatunong'onezi, alikiba aliuaaaa,,. Ile kuimba live vizuri ina credit yake,
 
Na kufa kwao kuanzie kwa diamond na ali kiba wenyewe wapatane na pia diamond aache mambo ya uswahili, alikiba nae aache kiburi,
hawawezi juzi sallam anasema tuonane mtv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alijua atashinda....

bora tu walivyoshindwa wote..

allykiba nae Mombasa alikataa kuwa wa kwanza jukwaani eti yy ni mkubwa kuliko wizkidayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
na tushindwe tu!
 
binamuu upo..[emoji12] [emoji12] [emoji12]

poleni wenye team zenu kwa kukosa!!
Sina muda na timu binamu lakini mimi ni mpenzi wa wanaofanya vizuri na kwavile kwa sasa anaefanya vizuri ni Diamond automatically nimekuwa shabiki wake nikiacha na sababu zingine za kufungamana na baadhi ya watu wa kwenye timu (za hizi timu pampers) yake!!!
 
Matokeo ya team zisikuwa na viwanja . mashabiki mshikaman0 zer0
 
Ina maana kabisa kuna watu na akili zao walitegemea mtu kama Diamond ashinde kweli? Au Vanessa Mdee? Huu ungekuwa ni utani wa karne, hii hainaga kuchit again.
kwahiyo mwaka jana aliiba?
watz buana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…