Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapuuzi bado wanatukana tu!!..Hahaha..nataman sana hizi team ushuzi ziishe hazina maana kwakweli
ngoja uone insta leo na kuanzia kesho
Hizi ni simulizi za "mabao mwatufunga lakini chenga twawala...!" Ile haikuwa concert bali tukio la utoaji tuzo broda! Tumekosa tuzo; let's take it. Inauma manake tulikuwa na nominees wa kutosha mwaka huu kuliko mwaka mwingine wowote! Judgement ya tukio lile itakuwa nani katoka na tuzo ngapi; PERIOD! Hata hivyo, sababu za kukosa kwetu zipo wazi! Mtu kama WizKid kwa mwaka huu is too tough to compete not only with Diamond but anyone... hata ingekuwa Akon anayeiwakilisha Afrika USA; kwa mwaka huu asingeweza kusimama mbele ya Starboy! Techno was too TOUGH to Raymond! Ni "uonevu" usio na kifani kama si kumdahalilisha Yemi Alade kumshindanisha na Vanessa!Alikiba kaimba vizuri!! Truth be told, diamond nkama alikuwa akihema Sana!! Mengine ya suti Kubwa, cjui nini nawaachia Nyie, Ila kiba kaimba vizuri
Na kufa kwao kuanzie kwa diamond na ali kiba wenyewe wapatane na pia diamond aache mambo ya uswahili, alikiba nae aache kiburi,wapuuzi bado wanatukana tu!!..
hizi team haziwezi kufa kwa sababu kuna watu wanaishi kupitua timu hizi...
zikifa watu hawana maisha...
me ni team kiba adui muombe njaa hongera wizkid kuchukua tuzo hakuna cha uzalendo hapa taifa ataliwakilisha magufSo mwaka huu hamna.....Picha za kulala na Tuzo....Hamna kwenda Airport..... Kuna Scorpion tu...na Mwalimu Msigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Navy Kenzo-Awards Winning~0
Diamond Platnumz -Awards Winning~0
Yamoto Band-Awards Winning~0
Ali Kiba -Awards Winning~0
Vanessa Mdee-Awards Winning~0
Kwani Mbwana Samatta hakuepo kwenye Nomination...??
binamuu upo..[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hizi ni simulizi za "mabao mwatufunga lakini chenga twawala...!" Ile haikuwa concert bali tukio la utoaji tuzo broda! Tumekosa tuzo; let's take it. Inauma manake tulikuwa na nominees wa kutosha mwaka huu kuliko mwaka mwingine wowote! Judgement ya tukio lile itakuwa nani katoka na tuzo ngapi; PERIOD! Hata hivyo, sababu za kukosa kwetu zipo wazi! Mtu kama WizKid kwa mwaka huu is too tough to compete with not only with Diamond but anyone... hata ingekuwa Akon anayeikilisha Afrika USA; kwa mwaka huu asingeweza kusimama mbele ya Starboy! Techno is too TOUGH as well to compare with Raymond! Ni "uonevu" usio na kifani kama si kumdahalilisha Yemi Alade kumshindanisha na Vanessa!
Kinachofurahisha ni kwamba, angalau tunajaza nominees... hii ni hatua kubwa sana kwetu kwa sababu inafahamika hata linapokuja suala la nominees; TZ tunakuwa nyuma sana!
Mimi ni KE, tuzo tumekosa,hapa tunadiscuss yaliyojiri, unaona??? Tukizungumzia live performance,, hatunong'onezi, alikiba aliuaaaa,,. Ile kuimba live vizuri ina credit yake,Hizi ni simulizi za "mabao mwatufunga lakini chenga twawala...!" Ile haikuwa concert bali tukio la utoaji tuzo broda! Tumekosa tuzo; let's take it. Inauma manake tulikuwa na nominees wa kutosha mwaka huu kuliko mwaka mwingine wowote! Judgement ya tukio lile itakuwa nani katoka na tuzo ngapi; PERIOD! Hata hivyo, sababu za kukosa kwetu zipo wazi! Mtu kama WizKid kwa mwaka huu is very strong to compete with not only with Diamond but anyone... hata ingekuwa Akon anayeikilisha Afrika USA; kwa mwaka huu asingeweza kusimama mbele ya Starboy! Techno is too TOUGH to compare with Raymond! Ni "uonevu" usio na kifani kama si kumdahalilisha Yemi Alade kumshindanisha na Vanessa!
hawawezi juzi sallam anasema tuonane mtv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alijua atashinda....Na kufa kwao kuanzie kwa diamond na ali kiba wenyewe wapatane na pia diamond aache mambo ya uswahili, alikiba nae aache kiburi,
Sina muda na timu binamu lakini mimi ni mpenzi wa wanaofanya vizuri na kwavile kwa sasa anaefanya vizuri ni Diamond automatically nimekuwa shabiki wake nikiacha na sababu zingine za kufungamana na baadhi ya watu wa kwenye timu (za hizi timu pampers) yake!!!binamuu upo..[emoji12] [emoji12] [emoji12]
poleni wenye team zenu kwa kukosa!!
Tuzungumzie la sasa, yaliyopita yamepitaLakini at least diamond alishawahi kushinda mtv awards, kukosa mwaka huu haiziondoi alizopata mwaka jana tayari ana history yake. Kiba sasa!
kwahiyo mwaka jana aliiba?Ina maana kabisa kuna watu na akili zao walitegemea mtu kama Diamond ashinde kweli? Au Vanessa Mdee? Huu ungekuwa ni utani wa karne, hii hainaga kuchit again.
Mungu akunyimi vyoteBora wamekosa maana wangezidi kijidai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bwana!Sina muda na timu binamu lakini mimi ni mpenzi wa wanaofanya vizuri na kwavile kwa sasa anaefanya vizuri ni Diamond automatically nimekuwa shabiki wake nikiacha na sababu zingine za kufungamana na baadhi ya watu wa kwenye timu (za hizi timu pampers) yake!!!