MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Leo Simba akibeba tuzo hata moja, nitatembea utupu pale posta siku nzima juakali kweupe. [HASHTAG]#period[/HASHTAG]
Hahahaha!! Mtani usije kukimbia kivuli chako tu maana kwenye vile vipengele viwili ambavyo wapo pamoja na wizkid ninachokiona ni kuwa watagawana tuzo! Simba atashinda kipengele kimoja wapo na Wiz atachukua kingine..
 
Sitegemei tanzania kupata tuzo yoyote
Naona zikienda kenya na nigeria tu
Tuzo pekee itakayoenda Kenya ni Best Group..
Wiz na Simba watagawana tuzo kwenye vile vipengele viwili ambavyo wakonominated.. Simba atashinda kimoja wapo alafu Wiz naye atashinda kingine
 
Tuzo pekee itakayoenda Kenya ni Best Group..
Wiz na Simba watagawana tuzo kwenye vile vipengele viwili ambavyo wakonominated.. Simba atashinda kimoja wapo alafu Wiz naye atashinda kingine
Tupo hapa utaniambia bongo haiji hata 1
 
Ila mimi nilitamani sana mwaka jana Wiz angechukua Artist of the year hii ingeweka njia nyeupe mwaka huu Simba kuchukua hiyo tuzo kama amesimama..

Ninatabiri Simba atapewa Best Male
Alafu Wiz atapew Artist of the year..

Itakuwa hivyo au watabadilishana yani Wiz best male Simba Artist of the year..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…