MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Hivi ni kweli Ali Kiba aliongea ushuzi huo?

Anyway sometimes hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu ********, Wiz Kid amemjibu Ali Kiba kwa vitendo kwenye hizi tuzo, this is how smart guys apply.
Jamani Ali hakusema hivyo mie interview zao zote niliziona yeye alisema tu why sallam kuwa backstage. Ila sasa sallam alivyohojiwa akasema alisikia kwa watu kuwa kiba alikataa kupanda kisa yeye ni mkubwa.Ukimsikiliza yule sallam ni kama alijipanga kumattack kiba maana after kuhojiwa kiba alihojiwa sallam so watanzania huwa tuna uswahili fulani ambao haujengi
 
Huyu Sallam ndio nani?
 
Ingekuwa hazina maana nisingetoa mfano wa hiyo Tuzo! Hoja yangu ni kwamba, ile event ilikuwa ni for award giving kwahiyo tusijifariji kwa supporting performance... in short, tumekosa tuzo ingawaje wengi naona wanajifariji kwa hilo! Hizi Live Performance zinafanywa na wanamuziki wengi tu kwahiyo there's no way kwamba Kiba anaweza kuwa nominated as Live Performance Act simply because jana ka-perform live and according to you, it's BANG! Kwani huyo Diamond ambae last year alikuwa nominated, ni wapi aliwahi ku-perform Live? Kwanza hata hiyo nomination yenyewe haifanyiki hivyo!

That's one but second, hivi kabisa unaamini Kiba ndo kaua kwenye performance na sio kwamba unaona kaua compared to Diamond? Now about "broda" thing, I meant Brother that's why I'd to apologize nilipoona ni "sis"... lots of Feminists now-a-days so I decided to better be safe than sorry!
 
Tuache hila Ali Kiba kafanya show ya ukweli sana.
 
Umeshinda ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…