MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Hivi ni kweli Ali Kiba aliongea ushuzi huo?

Anyway sometimes hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu ********, Wiz Kid amemjibu Ali Kiba kwa vitendo kwenye hizi tuzo, this is how smart guys apply.
Jamani Ali hakusema hivyo mie interview zao zote niliziona yeye alisema tu why sallam kuwa backstage. Ila sasa sallam alivyohojiwa akasema alisikia kwa watu kuwa kiba alikataa kupanda kisa yeye ni mkubwa.Ukimsikiliza yule sallam ni kama alijipanga kumattack kiba maana after kuhojiwa kiba alihojiwa sallam so watanzania huwa tuna uswahili fulani ambao haujengi
 
Huyu Sallam ndio nani?
 
Ngoja Nikuulize hivi hizi tuzo za 'live performer wazuri Hazina maana ?'zina maana Ndio sababu zipo,, na usishangae siku nyingine alikiba akanominatiwa Kama artist bora kwenye live performance, Alikiba kafanya vizuri sana, na tusijaribu kuona kama ni kawaida, kaimba vizuri na anastahili pongezi!! kuhusu brother thing umejudge vibaya, Sikuelewa Kama ulimaanisha 'ndg' Bali jinsia
Ingekuwa hazina maana nisingetoa mfano wa hiyo Tuzo! Hoja yangu ni kwamba, ile event ilikuwa ni for award giving kwahiyo tusijifariji kwa supporting performance... in short, tumekosa tuzo ingawaje wengi naona wanajifariji kwa hilo! Hizi Live Performance zinafanywa na wanamuziki wengi tu kwahiyo there's no way kwamba Kiba anaweza kuwa nominated as Live Performance Act simply because jana ka-perform live and according to you, it's BANG! Kwani huyo Diamond ambae last year alikuwa nominated, ni wapi aliwahi ku-perform Live? Kwanza hata hiyo nomination yenyewe haifanyiki hivyo!

That's one but second, hivi kabisa unaamini Kiba ndo kaua kwenye performance na sio kwamba unaona kaua compared to Diamond? Now about "broda" thing, I meant Brother that's why I'd to apologize nilipoona ni "sis"... lots of Feminists now-a-days so I decided to better be safe than sorry!
 
Hili lilijulikana kwa hawa wabana pua wetu kuwa kuna siku watakuja kuumbuka kazi ya kurushiana madongo hakuna hata mmoja anayeweza kunata na beats liveee si timu ya kule wala ya pale.

Hivi hawamuoni Cristian Bela anavyonata na beats hata ukimkurupusha usingizini utampenda tu na sauti.

Wengi wa hawa wasanii hawakuimba mitaani kwenye bendi au kwenye kwaya au kaswida wala hawakuanza kuimba toka wakiwa watoto kama wale mastaa wa Marekani waliokuja kuchomoza kwenye Pop Idol, America Idol etc.

Kwa kuwa wameamua kuwa wanamuziki wasione aibu, kwanza wana pesa chafu, wawatafute wazee wetu wa muziki wajifunze kuimba liveee watafunika madhaifu yao wakiwa na bidii.

Huu ujanja ujanja wa kupika pika studio hautawafikisha mbali.
Tuache hila Ali Kiba kafanya show ya ukweli sana.
 
Ingekuwa hazina maana nisingetoa mfano wa hiyo Tuzo! Hoja yangu ni kwamba, ile event ilikuwa ni for award giving kwahiyo tusijifariji kwa supporting performance... in short, tumekosa tuzo ingawaje wengi naona wanajifariji kwa hilo! Hizi Live Performance zinafanywa na wanamuziki wengi tu kwahiyo there's no way kwamba Kiba anaweza kuwa nominated as Live Performance Act simply because jana ka-perform live and according to you, it's BANG! Kwani huyo Diamond ambae last year alikuwa nominated, ni wapi aliwahi ku-perform Live? Kwanza hata hiyo nomination yenyewe haifanyiki hivyo!

That's one but second, hivi kabisa unaamini Kiba ndo kaua kwenye performance na sio kwamba unaona kaua compared to Diamond? Now about "broda" thing, I meant Brother that's why I'd to apologize nilipoona ni "sis"... lots of Feminists now-a-days so I decided to better be safe than sorry!
Umeshinda ndg
 
Back
Top Bottom