Mods, uzi za kipumbavu muwe mnazitoa!Katika hali isiyo ya kawaida mwanamuziki ali said kiba kasababisha bahat mbaya kwa watanzania wenzake waliokua wakishiriki tuzo hizo hapo jana.
Ali kiba hakuwai kushiriki katika tuzo hizo hata mara moja na uwepo wake kwa mara ya kwanza umezuia bahat za wenzake kupata kura..
Unajua ali kiba ana imani za ajabu yaan imani sio na hisia mbaya mtu wa hivyo akiwa katika kund na mkiwa mnagombea kitu bas hamtofanikiwa alisema mzee john mwita ambae ni mtaalamu wa mambo ya imani....
Kwa mara ya kwanza tz imekosa tuzo licha ya nyomi la wasanii
Kapata tetemeka award.Mond kashinda TUZO za USA
Alafu Wapumbavu waende wapi? demokrasia huhitaji sana uvumilivu.Mods, uzi za kipumbavu muwe mnazitoa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halotel tena mkuuDaaah! Tumejipanga wenyewee shopping mara masuti sijui nin nin!!! Haka ka-Wizard-kid na manguo yake ya Hallotel kamebeba Tuzo mbili na bado wamekashangilia kama nini kwenye perfomance[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
[emoji1] [emoji2] [emoji4] [emoji2] [emoji3] [emoji4] [emoji2] [emoji3] [emoji3]Mshkj wangu aliniambia tuchange hela tulipie king"amuzi nikamwambia hiyo ni anasa ss hv ndo naona madhara ya ubahili wa kijinga
Wanadada mwanariadha caster semenya red carpet
View attachment 422561
Kama tuzo inampa msanii tours nyingi pia best performance inampa msanii shows nyingi.Sorry sohwa, I hope you don't much about broda thing! Back to the discussion; sasa credit inaingia wapi? Suala la kuimba Live sio jipya lakini watu wanaangalia umepata nini! Diamond kwa mfano; mwaka jana alichukua Best Performing Act... kama kawaida ya Wabongo; wakaanza kuponda kwamba tuzo ya kukata viuno! Watu tukasema hamfahamu maana ya ile tuzo... muziki ni burudani na moja ya burudani za muziki ni performance! Moja ya credit kubwa ambazo hata Michael Jackson alikuwa nazo ni performance! Tukasema hapa mwaka jana; hii tuzo Diamond itampa tours nyingi sana za ku-perform! Hata wewe ni shahidi kuhusu tours nyingi alizopata mwaka huu! Lakini Kiba ku-perform live sio issue na hata wewe unajua huo ubora unaosema unamlinganisha na Diamond and nothing else! Lakini endapo angechukua tuzo; ingekuwa ni habari nyingine!
Kiba na sauti Saul ni wasanii wawili tofautTanzania kwanza
Ila huyu alikiba akitajwa hiyo tuzo itaenda Kenya au Tanzania!!?
Hapo mtihani
Aliyeanza kuandika ushenzi ni wewe usijifanye una akili nyingi sanaAcheni tabia za kinafki ina maana nyinyi wote wawili hamjaona alichoandika huyo ashki majnuni?
Tabia kama hizi za kinafki ndio moja ya sababu ya kukosa tuzo.
Ali kiba hajaongea upuuzi huo,Hivi ni kweli Ali Kiba aliongea ushuzi huo?
Anyway sometimes hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu ********, Wiz Kid amemjibu Ali Kiba kwa vitendo kwenye hizi tuzo, this is how smart guys apply.