MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Kwahiyo watanzania hamna hata mmoja aliye piga kura









Na sisi tuunde matuzo yetu bhana
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamuziki ali said kiba kasababisha bahat mbaya kwa watanzania wenzake waliokua wakishiriki tuzo hizo hapo jana.

Ali kiba hakuwai kushiriki katika tuzo hizo hata mara moja na uwepo wake kwa mara ya kwanza umezuia bahat za wenzake kupata kura..


Unajua ali kiba ana imani za ajabu yaan imani sio na hisia mbaya mtu wa hivyo akiwa katika kund na mkiwa mnagombea kitu bas hamtofanikiwa alisema mzee john mwita ambae ni mtaalamu wa mambo ya imani....


Kwa mara ya kwanza tz imekosa tuzo licha ya nyomi la wasanii
Mods, uzi za kipumbavu muwe mnazitoa!
 
Tujipongeze kwa kujaza nominees wengi na mwakani waongezeke naamin kuna mwaka tutavuruga izo tuzo mpaka dunia itasimama na kutoamin ni nin kinatokea hapo south afrika...
Ivi kuna watu wanatafuta mchawi kwa yaliyotokea jana..acheni upuuzi
 
Muziki wetu baaaado sana nikiangalia na performance za wasanii wa Nigeria na kwingineko yaani baaaado has uimbaji wa live ni shida
 
Daaah! Tumejipanga wenyewee shopping mara masuti sijui nin nin!!! Haka ka-Wizard-kid na manguo yake ya Hallotel kamebeba Tuzo mbili na bado wamekashangilia kama nini kwenye perfomance[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halotel tena mkuu
 
Sorry sohwa, I hope you don't much about broda thing! Back to the discussion; sasa credit inaingia wapi? Suala la kuimba Live sio jipya lakini watu wanaangalia umepata nini! Diamond kwa mfano; mwaka jana alichukua Best Performing Act... kama kawaida ya Wabongo; wakaanza kuponda kwamba tuzo ya kukata viuno! Watu tukasema hamfahamu maana ya ile tuzo... muziki ni burudani na moja ya burudani za muziki ni performance! Moja ya credit kubwa ambazo hata Michael Jackson alikuwa nazo ni performance! Tukasema hapa mwaka jana; hii tuzo Diamond itampa tours nyingi sana za ku-perform! Hata wewe ni shahidi kuhusu tours nyingi alizopata mwaka huu! Lakini Kiba ku-perform live sio issue na hata wewe unajua huo ubora unaosema unamlinganisha na Diamond and nothing else! Lakini endapo angechukua tuzo; ingekuwa ni habari nyingine!
Kama tuzo inampa msanii tours nyingi pia best performance inampa msanii shows nyingi.
Kiba kafanya performance nzuri saaana.
 
Ila jaman saut soul walimuheshimu sana kiba ! Interview ya kwanza friday night live iliyowakutanisha kiba na saut soul kama mliiona basi mtakua mashahidi ! Vijana wa saut soul walijishusha sana wakaimba nyimbo nyingi za kiba ila kiba akajifanya hajui nyimbo ya vijana iliyokua imevuma sana! Sasa leo hii vijana wana tuzo mkononi uku king akiwa holaa! Jaman kutangulia sio kufika! King apunguze zarau
 
Kuna ukweli ambao hatuuangalii mara nyingi nao ni kwamba Kiswahili speakers ni wengi na ukitaka kuwapata ni lazima utumie watu walio miongoni mwao regardless ubora (namaanisha global standards). Hawa wamiliki wa media kubwa hizi lengo lao ni kukamata hili soko ambalo kiukweli wanaliona kama 'virgin market' na jinsi bora ni kutumia watu waliopo.
Sasa sisi tukiona mtu amekuwa nominated MTV au CNN tunajua basi ndio amefikia kiwango cha Luck Dube, Oliver Mtukudzi, Kanye West au hata Celine Dion lakini kwa watu wanaojua muziki ukiangalia na kusikiliza kwa umakini 99% ya wasanii hapa ni underground. Sio ajabu kinachowafanya wonekane kuwa juu locally ni magari wanayoendesha, nyumba, mavazi hata 'mademu' wanaotoka nao! Tunatakiwa kufanya kazi ili kutoka na tujifunze kutoka tuzo hizi.
 
Acheni tabia za kinafki ina maana nyinyi wote wawili hamjaona alichoandika huyo ashki majnuni?

Tabia kama hizi za kinafki ndio moja ya sababu ya kukosa tuzo.
Aliyeanza kuandika ushenzi ni wewe usijifanye una akili nyingi sana
 
Hivi ni kweli Ali Kiba aliongea ushuzi huo?

Anyway sometimes hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu ********, Wiz Kid amemjibu Ali Kiba kwa vitendo kwenye hizi tuzo, this is how smart guys apply.
Ali kiba hajaongea upuuzi huo,
Hayo ni maneno ya meneja wa diamond aliyekua anajaribu kumgombanisha kiba na star boy
 
Kwa mashabiki mandezi kama wewe halafu mnataka wasanii wetu wapate tuzo!!! Utoto mwingi hadi mnawaharibia wenzenu
 
Back
Top Bottom