BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Sema tu roho inakuuma Kiba kafanya bonge ya show wakati diamond katetemeka jukwaani nyimbo moja anahema kama anakimbizwa.Ingekuwa hazina maana nisingetoa mfano wa hiyo Tuzo! Hoja yangu ni kwamba, ile event ilikuwa ni for award giving kwahiyo tusijifariji kwa supporting performance... in short, tumekosa tuzo ingawaje wengi naona wanajifariji kwa hilo! Hizi Live Performance zinafanywa na wanamuziki wengi tu kwahiyo there's no way kwamba Kiba anaweza kuwa nominated as Live Performance Act simply because jana ka-perform live and according to you, it's BANG! Kwani huyo Diamond ambae last year alikuwa nominated, ni wapi aliwahi ku-perform Live? Kwanza hata hiyo nomination yenyewe haifanyiki hivyo!
That's one but second, hivi kabisa unaamini Kiba ndo kaua kwenye performance na sio kwamba unaona kaua compared to Diamond? Now about "broda" thing, I meant Brother that's why I'd to apologize nilipoona ni "sis"... lots of Feminists now-a-days so I decided to better be safe than sorry!
Kwaiyo una bishana na bet huyu kiba wenu kaimba sekunde ngap mbona hajaimba nyimbo zkePamoja na kuja na mameneja wawili hadi kwenye rehearsal tuzo zimeota mbawa, mmeishia kutetemeka jukwaani.
Kila mtu ameona show,Kwaiyo una bishana na bet huyu kiba wenu kaimba sekunde ngap mbona hajaimba nyimbo zke
yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?
Hao BET ndo akina nani kwani wakati watu wamejionea wenyewe kwa machooooooKila mtu ameona show,
Diamond anatetemeka anahema kama anakimbizwa, hasikiki anachoimba, tunashindwa kumtofautisha na dancers wake.
Acheni uswahili jipangeni.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji119]Leo Simba akibeba tuzo hata moja, nitatembea utupu pale posta siku nzima juakali kweupe. [HASHTAG]#period[/HASHTAG]
Mwenye masikio na asikie....ushabiki wa kishamba uachwe...Kuna ukweli ambao hatuuangalii mara nyingi nao ni kwamba Kiswahili speakers ni wengi na ukitaka kuwapata ni lazima utumie watu walio miongoni mwao regardless ubora (namaanisha global standards). Hawa wamiliki wa media kubwa hizi ni kukamata hili soko ambalo kiukweli wanaliona kama 'virgin market' na jinsi bora ni kutumia watu waliopo.
Sasa sisi tukiona mtu amekuwa nominated MTV au CNN tunajua basi ndio amefikia kiwango cha Luck Dube, Oliver Mtukudzi, Kanye West au hata Celine Dion lakini kwa watu wanaojua muziki ukiangalia na kusikiliza kwa umakini 99% ya wasanii hapa ni underground. Sio ajabu kinachowafanya wonekane kuwa juu locally ni magari wanayoendesha, nyumba, mavazi hata 'mademu' wanaotoka nao! Tunatakiwa kufanya kazi ili kutoka na tujifunze kutoka tuzo hizi.
Asante sana.Afadhali kwa kweli,
Heshima imetawala.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Sema tu roho inakuuma Kiba kafanya bonge ya show wakati diamond katetemeka jukwaani nyimbo moja anahema kama anakimbizwa.
Kama ni bora mbona wamerudi na karai?ndio kilichowapeleka ni ku-perform(ali kiba/diamond) na kuwania tuzo.. kama sio bora huwezi ku-perform.. jipime kwanza