MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Acheni kujiongopea kuwa sababu ya kukosa eti ni kutokana na timu hakuna kitu kama hicho, kwanza mjue tu kuwa kura si muamuzi wa hizo tuzo (maamuzi ya kura ni 30%) ila majaji ndio wenye uamuzi wa mwisho, kwahiyo hapo timu HAZIJAATHIRI CHOCHOTE NA HAVINA UHUSIANO, ILA UMOJA NI KITU MUHIMU KIUBINADAMU SI KWAAJILI YA TUZO TU,ILA KWA MAISHA KIUJUMLA. KUMBUKENI DIAMOND ALIZICHUKUA HIZI TUZO KUKIWA NA KAMPENI YA "KURA ZOTE KWA WIZKID" NA AKACHUKUA.
 
Mwenye masikio na asikie....ushabiki wa kishamba uachwe...
Mkuu HOPECOMFORT, ndio matokeo ya kupima ubora wa artist kwa kuangalia eti followers kwenye instagram na kuamini eti Yemi Alade ana 2m na wewe una 4m lakini tukasahau kuwa followers wako wengi ni Division Five na zaidi wanatokea Dar es salaam unakoishi lakini wa Yemi ni 'graduates' na wanatokea mabara yote saba!
 
Mwaka gani alichukua tatu kwa mpigo?
 
Wakamuombe msamaha le mutuz...ha ha ha ha

Wasanii wa bongo wanajitahidi ila mwaka huu hukua wao.
Ila wakome kutoa flat songs na kuconcetrate sana kwenye youtube views. Tunataka kuona wasanii wa bongo wanafanya collabo na hot artists duniani,
I really mean hot artists na sio msanii yoyote tu kisa ni mmarekani, pia wawe wanatoa albums zinauza mpaka zinafika double platnums. Hii ya kutoa singles itawatia umaskini uko mbeleni.
Na kingine wajifunze kuandaa shows nzuri, zitawaongezea thamani yao duniani. Leo hii cassper kachukua zawadi mainly because ya ile show yake ya 31th october 2015, fill up the dome. Na sasa anajipanga na fill up the orlando stadium. Jamaa anajaza ukumbi peke ake, hizi ni jitahada ambazo ata wasanii wetu wa bongo inabidi waige.

Ila nimeumia sana baddest ya AKA kutochukua best collabo.
 
Yeye si MKUBWA!!
Hahahhahah
 
Muelewa atajifunza kitu... M timu timu ataona ni figisu. Bado tuna safari ndefu japo tunajiona tumesha fika
 
team mondi
Why Team Mond? Tangu zamani nimeshakuambia na wala sijawahi kuficha kwamba mimi ni shabiki wa Diamond kwa sababu ni shabiki wa mafanikio relying on facts and figure and I don't give a shit on emotions! Kwa tukio la jana, what I wanted ni kuona tuzo ngapi and not otherwise... statistic and figures manake hata leo hii ukianzishwa mjadala Afrika nani ali-perform vizuri; kila mmoja atakuwa na jibu lake based on emotions lakini ikiulizwa nani kachukua Best Artist wooooooote, jibu ni moja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…