samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Acheni kujiongopea kuwa sababu ya kukosa eti ni kutokana na timu hakuna kitu kama hicho, kwanza mjue tu kuwa kura si muamuzi wa hizo tuzo (maamuzi ya kura ni 30%) ila majaji ndio wenye uamuzi wa mwisho, kwahiyo hapo timu HAZIJAATHIRI CHOCHOTE NA HAVINA UHUSIANO, ILA UMOJA NI KITU MUHIMU KIUBINADAMU SI KWAAJILI YA TUZO TU,ILA KWA MAISHA KIUJUMLA. KUMBUKENI DIAMOND ALIZICHUKUA HIZI TUZO KUKIWA NA KAMPENI YA "KURA ZOTE KWA WIZKID" NA AKACHUKUA.