MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Cha msingi waanze kutoa album maana msanii bila album soko lakimataifa hutofanikiwa.
Ukiwa na album hata ukiwa na tour unakua na nyimbo nyingi na mpya za kuimba mf show za wizkid na psquare yan wanacollection yakutosh ya nyimbo
Wizkid deserved hizo tuzo zote... Mondi kaza buti rekebisha makosa then hopefully next time tutapata.
 
Kuna TUZO 2 ZA DIAMOND ZINAKUJA KWAHIYO KAMA NI SWALA LA KULALA NA TUZO LIPO PALEPALE,NA KAMA KUPOKELEWA KUPO PALEPALE ATAKAPOFIKA HARMONIZE AIRPORT,WAPE POLE AMBAO TUZO ZA KIMATAIFA KWAO NI NDOTO.
 
Sema tu roho inakuuma Kiba kafanya bonge ya show wakati diamond katetemeka jukwaani nyimbo moja anahema kama anakimbizwa.
Kiroja hiki... yaani iniume kwa sababu Kiba kafanya bonge la show kwa mujibu wa mashabiki wa Kiba? Mi ni mtu wa statistic and figures broda!!! Sema mashabiki wa Kiba mnajifariji kwa kigezo cha show kwavile King ametoka mikono mitupu na kuendeleza rekodi yake ya kuishia KTMA!!! AFRIMM mlijiliwaza kwamba "amehujumiwa" leo mnajiliwaza kwenye "show kali" vyote hivyo havipo documented popote pale!
 
Hahahahaha jana alikalia kiti cha ufalme afu male of the year akapita kwa madoido kwenda kuchukua tuzo yake yaan pale nilicheka nikasema duh kweli bhang sio mchicha
 
Mkuu madale mmenuna
 
Vipee bado unauza nyapu online ?
 
ANAYESEMA YALIYOPITA SI NDWELE HUYO NI FALA,KAMA NI HIVO REAL MADRID HISINGEHESABIKA KAMA NI TIMU ILIYOCHUKUA MARA NYINGI ZAIDI CLUB BINGWA ULAYA.HII HAPA NI HISHORIA YA DIAMOND KUCHUKUA TUZO NA MAKABATI YAMEJAA,POLE YAO AMBAO HAWAJAWAHI KUCHUKUA TUZO NA WAPO TOKEA 2003 KTK MUZIKI.



NA HII NDIO TUZO YA MTV ALIYOCHUKUA DIAMOND MWAKA ULIOPITA KUKIWA NA KAMPENI MAALUM YA TIMU KIBA,JOKETI NA WEMA ILIYOKUWA INASEMA KURA KWA WIZKID NA AKACHUKUA MBELE YAKE.
 
Kwahiyo pole zoooooooooooote ziende kwa waliopo kwenye muziki zaidi ya miaka 13 na HAWAJAWAHI KUCHUKUA TUZO,ILA MADOGO WA JUZI WANAWAPIGA BAO. HARMONIZE HII INAKUWA TUZO YAKE YA PILI.
 
Kora awards nmeangalia sana mkuu,hii yako chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…