Ndo nasubiria MTV base mbona huku kwenye TV wamechelewaWE PEKUA PEKUA KWENYE KING'AMUZI CHAKO HUENDA UTAONA MIE NIKO NA LIVE STREAMING
Wewe kati ya mashoga wanne na wewe utakua mmoja wapo..!Kati ya watu wanne mmoja wapo
Na we utakua mwenyewe
Super three hawaonyeshi ni MTV base Chanel 322Supersport three.... Umelipia Mkuu?
Kapendeza sanaYemi alade red carpetView attachment 422538
Best MaleNa wizkid atachukua ipi sasa
Zote hizo ni za wizkidBest Male
UKISHINDWA NENDA FACEBOOK PAGE YAO MTVBASEAFRIKA KUNA LIVE STREAMING BANDO LA BUKU TUNdo nasubiria MTV base mbona huku kwenye TV wamechelewa
NENDA GOOGLE KILA KITU UTAFUNIWE AU WA MKOANI WEWETuma link
Korrede bello amevaa kama fundi umeme[emoji3] [emoji3]Korrede bello red carpetView attachment 422541
Nitaangalia kwenye TV SAA NNE ndo watakua liveUKISHINDWA NENDA FACEBOOK PAGE YAO MTVBASEAFRIKA KUNA LIVE STREAMING BANDO LA BUKU TU
We jamaa, vipi mbona unaangaika sana ......Na kama hajachukua zote husije kubadili kauli.Zote hizo ni za wizkid
Bello anavaaje hivi, fashion nyingine hizi bhana.. Event kama hii anavaa kama makenika [emoji57]Korrede bello red carpetView attachment 422541