Bonge la rapper huyo ana nyimbo nyingi kama "mama i made" mcheki you tube freestyle zake.haki apewe sema pia yupo nyumba ndo maana kapata kura nyingi.Huyu Casper kaimba wimbo gani@kedrick
Labda Nape lugha ngonganaHivi Nape Nnauye hayupo huko?
Maana nilisikia alitakiwa kuwasindikiza wasanii wa Tanzania kwenda South kuwania hizo tuzo.
Kwa ile style ya yake ya "Goli la mkono" tuzo zote wasanii wa kibongo tunazozishindania huko tuna uhakika wa kuzichukua.
Ni mwanamke,ila ameoaIla ana homoni nyingi za kidume huyu atakua lesbian
vitambaa vya masofa[emoji23][emoji23][emoji23]Sauti sol red carpet
View attachment 422557
U make ma night. Du!!Nimekosa na oxygen
Na Maji mwilini.....
Sijawahigi kumfatilia huyo Casper kwa kweliBonge la rapper huyo ana nyimbo nyingi kama "mama i made" mcheki you tube freestyle zake.haki apewe sema pia yupo nyumba ndo maana kapata kura nyingi.
mimi piaSijawahigi kumfatilia huyo Casper kwa kweli
Atakua na jinsia mbili ila yakiume ndo INA function yani huyo ni dumeNi mwanamke,ila ameoa
we jamaa umenisumbua bure
cheki live kwenye you tube..sisi wa halotel ni mikwamo sijui wenzangu speed yenu huko
korrede kavaa ovaroll kwenye red carpet [emoji16]Korrede bello red carpetView attachment 422541
kapendezaPatoranking red carpet
View attachment 422554