MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Rapper Emtee na familia yake red carpet
1477163884169.jpg
 
Hivi Nape Nnauye hayupo huko?
Maana nilisikia alitakiwa kuwasindikiza wasanii wa Tanzania kwenda South kuwania hizo tuzo.
Kwa ile style ya yake ya "Goli la mkono" tuzo zote wasanii wa kibongo tunazozishindania huko tuna uhakika wa kuzichukua.
Labda Nape lugha ngongana
 
Tandantandaaaa....
ngangangaaa
picha linaanza ....
ngoja niagize Popcorn kwa kahawa...
Leo haina kulala
 
Back
Top Bottom