MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Hata mie huwa naumia sana aiseee
huwezi imba mziki mzuri vile then ukakosa tuzo

Na anawika sana hata nchi nyingi duniani kama kawa.

Atalala anaota leo, nimefurahi kwa kweli

Bora amepata yeye katika hao sababu sio my Diamond...eeeeh
 
Back
Top Bottom