hawawezi juzi sallam anasema tuonane mtv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alijua atashinda....
bora tu walivyoshindwa wote..
allykiba nae Mombasa alikataa kuwa wa kwanza jukwaani eti yy ni mkubwa kuliko wizkidayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
na tushindwe tu!
Tutapata akili sasa. Subiri uone.
Kuna ma-team zaid ya mangap sjui, fikiria tuchukulie mfano wa ali kiba na diamond, wangekua wamepatana, means fan base ya ali kiba wangewapigia kura wote ali na naseeb,, pia fan base ya diamond, zari, esma, bi sandra, latifa, hamisa, wema na bila kumsahau IVAN nae pia ana fan base yake,na wengine wangempigia kura yeye diamond na ali na wengine watanzania waliokua katika categories tungepata kitu.
Ila japo hatukatai wizkid amekua na mwaka mzuri na single aliyoimba na drake ukichanganya na fan base yake ambayo imeongezeka hadi marekani kupitia "one dance" song...ila naamin kwa muunganiko huo hapo juu hio nguvu ingekusanywa na wakaonesha hadharani kua hatuna u-team mavi basi am sure tungeondoka na hata moja, sasa inatokea mtanzania sababu anamchukia ali kiba au diamond bas anawapigia kura wanaijeria, jambo la kushangaza sana.
Na "mke" mtu badala aongoze kumsapot "hubby wakee yeye yuko bize na vijembe instagram. Sasa nimeamin kabisa kua kuna watu wanakula kupitia mabeef haya ya hizi pande mbili na beef imesogea zaid hadi kwa mzee Mzima Ivan. What do you expect?!
Juzi davido anahojiwa anaulizwa kuhusu mahusiano sjui kua na mwanamke, anawajibu anawaambia hana muda huo kwa sasa, yuko busy building his empire and music.