I like Diamond a lot bana, dogo anajua kutumia fursa ipasavyo
Wakati ilipo postiwa kwamba Diamond atatumbuiza jukwaa moja na Neyo mwenye MTV Mama mashabiki wa Diamond walivamia page ya Neyo na kumuomba kolabo na Diamond hadi Neyo mwenyewe alishangaa comments alizokua anazipa kwa kila post zilikua zaidi ya kawaida
Na alipotua tu South Africa mtu wa kwanza kumuulizia waonane naye ilikua ni Diamond, kama kawaida Domo hakifanya kosa na makubaliano ya kolabo yakafanyika palepale
Juzi kaja kwenye coke studio mashabiki wa King Kiba wakaanza kelele na le project ya koce studio eti ndio kolabo, wakaenda mbali na kudai eti walinzi wa Neyo walimtimua Salaam sk na kama sio King kiba angeadhirika........ Masikini hawakujua kinachoendelea, Chibu mtu mbaya sana kwa kuwatesa mashabiki wa Kiba
Nasikia hii kolabo ilitakiwa iwe sapraizi kama nana lakini kwasababu ya makelele ya wanazi wa King kiba ndio imebidi Chibu atupie insta kuwanyoosha