MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

I like Diamond a lot bana, dogo anajua kutumia fursa ipasavyo
Wakati ilipo postiwa kwamba Diamond atatumbuiza jukwaa moja na Neyo mwenye MTV Mama mashabiki wa Diamond walivamia page ya Neyo na kumuomba kolabo na Diamond hadi Neyo mwenyewe alishangaa comments alizokua anazipa kwa kila post zilikua zaidi ya kawaida
Na alipotua tu South Africa mtu wa kwanza kumuulizia waonane naye ilikua ni Diamond, kama kawaida Domo hakifanya kosa na makubaliano ya kolabo yakafanyika palepale

Juzi kaja kwenye coke studio mashabiki wa King Kiba wakaanza kelele na le project ya koce studio eti ndio kolabo, wakaenda mbali na kudai eti walinzi wa Neyo walimtimua Salaam sk na kama sio King kiba angeadhirika........ Masikini hawakujua kinachoendelea, Chibu mtu mbaya sana kwa kuwatesa mashabiki wa Kiba
Nasikia hii kolabo ilitakiwa iwe sapraizi kama nana lakini kwasababu ya makelele ya wanazi wa King kiba ndio imebidi Chibu atupie insta kuwanyoosha

Kiba ckumuona akiwa studio na neyo zaidi ya kumuona akiwa chumbani na neyo pwilo Shardcole
 
Last edited by a moderator:
Ila Chibu anajua kuwanyoosha team kiba jamani khaa
Yaani wote kimyaaaa
Mbwembwe zote kwisha wanaogopa hata kuchangia kudadeki
 
Msanii wa Marekani ambaye umuambie chochote kwa anavyo mkubali chibu Neyo baada ya jana kufanya collabo nae leo ame amua kum
follow instagram DIAMOND na mpiga picha wake Kifesi. Kibakuli ana mtag neyo na kum rekodi mavideo hadi Leo haja mfollow
Cc pwilo Shardcole
 

Attachments

  • Insta-image.jpg
    Insta-image.jpg
    153.3 KB · Views: 307
Last edited by a moderator:
Hizi kazi za kusifia kupita kiasi muwe mnawaachia wakina dada.
 
diamond kashafanya yake na ne yo ktk studio ya sheddy clever
kiukweli natamani hata kulia maana namhurumia wa jina wangu ali kaiba kaiba diamond kamuiba ne yo

acha nilie
mamaaa maaamaaa
 
Kiba ataimba nini na neyo
Tuwe wakweli sometimes

naamini mtakuja kuona aibu na kutafuta pakujifichia pindi wajina Kaiba inatosha
kwa sasa nanyamaza kimya sizungumzi kitu ila siku itapofika mtalia kwa kusaga meno

Neyo asingekuja hapo kwa jirani msingekuwa na uwezo wa kufanya naye collabo nyinyi
 
Neyo ni msanii mbuzi tu ingekuwa trey songz hapo sawa, alaf kuna tetes kuwa mondy walienda na madawa hotelini.
 
na ww tabia za kuweka avatar za wanaume wenzako wakiwa kwny magari yao na bastola zao acha

Kwi kwi kwi. Laiti ungejua. Hii ndio shida ya kutojishughulisha na kukaa kutwa kusifia wanaume. Yaani wewe mtu kumiliki bastola na gari una kabisa haiwezekani. Acha kuishi kwa shemeji yako tafuta kazi fanya. Utaishia tuu kusifia wanaume kwa mpango huo.
 
Back
Top Bottom