Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Kwani yeYule aliyemtishia Nape kanyongwa?
Hii ni Habari mbaya Sana hii.We Endelea kutumika kuua na kuumiza watu ukitegemea utalindwa.
View attachment 3380080
Ujumbe: Shetani hana Rafiki
Wakamsalimie Christopher Bageni naye anasubiria kunyongwa hadi kufa kwa mauaji ya wafanyabiashara wa madini mkoani Morogoro,kweli pesa ilimuua yesuMahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa askari wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi Hamisi, yaliyodaiwa kufanyika mwaka 2022 mkoani Mtwara.
Watuhumiwa watano wameachiwa huru baada ya mahakama kuwakuta hawana hatia.
#AzamTVUpdates
John Kasembe
Mhariri | John Mbalamwezi
Walisema yule Dogo alikuwa na Undugu na Bwana Majaliwa.We Endelea kutumika kuua na kuumiza watu ukitegemea utalindwa.
View attachment 3380080
Ujumbe: Shetani hana Rafiki
Mwambieni huyo jamaa yenu Mananiliu, aendelee tu
Hii ni Habari mbaya Sana hii.Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa askari wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi Hamisi, yaliyodaiwa kufanyika mwaka 2022 mkoani Mtwara.
Watuhumiwa watano wameachiwa huru baada ya mahakama kuwakuta hawana hatia.
View attachment 3380044
Source: Azam TV