Mtwara: Askari wawili wahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara

Mtwara: Askari wawili wahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara

Hatimaye haki imetendeka na roho ya marehemu itapumzika sasa.. Japo Kati ya hao waliobaki kuna namna walihusika Ila ushahidi haukutosha
Mrakimu wa polisi ni mtu mdogo Sana sijui kwanini alijitutumua mbele ya bumunda
 
Huyu SP Gilbert Kalanje tuliingia Polisi Depo moja 1998 tukamaliza 1999 na tukapangwa wote Oysterbay Polisi,kwa mnaoandika kuhusu Christopher Bageni ni kwamba yupo huru,aliachiwa mwezi April mwaka huu 2025 kwa msamaha wa Rais.
Lakini pia huyu Gilbert Kalanje SIE aliyehusika kwenye tukio la kumtolea bastola Nape Nauye kipindi kile,watu walichanganya picha tu,ni watu wawili tofauti
 
Huyu SP Gilbert Kalanje tuliingia Polisi Depo moja 1998 tukamaliza 1999 na tukapangwa wote Oysterbay Polisi,kwa mnaoandika kuhusu Christopher Bageni ni kwamba yupo huru,aliachiwa mwezi April mwaka huu 2025 kwa msamaha wa Rais.
Lakini pia huyu Gilbert Kalanje SIE aliyehusika kwenye tukio la kumtolea bastola Nape Nauye kipindi kile,watu walichanganya picha tu,ni watu wawili tofauti
Bageni yupo huru?Mh,ngumu kumeza hii!
 
Maofisa Wawili wa Jeshi la Polisi Wakutwa na Hatia ya Mauaji Mtwara, Wahukumiwa Kunyongwa

Na Lukelo Francis

Mahakama Kuu ya Tanzania leo Juni 23, 2025, imewatia hatiani maofisa wawili wa Jeshi la Polisi na kuwahukumu kunyongwa kwa kosa la mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis (25), ambaye aliuawa Januari 5, 2022 mkoani Mtwara.

Hukumu hiyo imesomwa na Jaji Hamidu Mwanga, wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo ameeleza kuwa watuhumiwa waliopatikana na hatia ni Gilbert Kalanje, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa (OC-CID) wilaya ya Mtwara, na Charles Onyango, aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara.

Watuhumiwa wengine watano wa kesi hiyo Nicholaus Kisinza, Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara, John Msuya Mganga, Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara, Marco Mbuta, Shirazi Mkupa na Salimu Juma Mbalu wameachiliwa huru.

Soma zaidi
 

Attachments

  • Screenshot_20250624-162257.png
    Screenshot_20250624-162257.png
    558.6 KB · Views: 24
Hukumu inasema kunyongwa hadi kufa sio kuhukumiwa kunyongwa tu wanaweza kunyongwa na wasife jombaa tena hao ilitakiwa wasipate hata nafasi ya kuvuta sigara wawe wameshategua stuli..


IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
(MTWARA SUB-REGISTRY)
AT MTWARA
CRIMINAL SESSIONS CASE NO. 15 OF 2022(Original PI No. 1 of 2022 in the Resident Magistrate’s Court of Mtwara at Mtwara)

THE REPUBLIC

VERSUS

GILBERT SOSTENES KALANJE................................... 1st ACCUSED
CHARLES MAURICE ONYANGO................................2ND ACCUSED
NICHOLAUS STANSLAUS KISINZA........................................3RD ACCUSED
MARCO MBUTA CHIGINGOZI..............................4TH ACCUSED
JOHN YESSE MSUYA..........................................5TH ACCUSED
SHIRAZI ALLY MKUPA.........................................6TH ACCUSED
SALIM JUMA MBALU...........................................7TH ACCUSED

JUDGMENT
30th April & 23rd June, 2025
MWANGA, Hamidu J.

The rule is, and it is nothing more than a rule of practice, that when
the guardian becomes the aggressor, the fabric of society frays. The
foregoing statement accurately represents the factual predicate for the judgment I am about to deliver shortly. The case presents a stark and

Page 1


and safeguard the citizens’ lives stand accused of one of the most heinous crimes, which profoundly may lead to breach of the sacred trust reposed
in them, whose very presence is meant to be a bulwark against fear, not its source. The court is keenly aware of the profound impact these allegations have on the collective sense of security. Today, this court is
tasked with the solemn duty of dissecting these grave allegations and delivering justice where it has been so grievously undermined.
The police officers I am referring to and who are the accused
persons in this trial are: SP Gilbert Sostenes Kalanje(OCCID); ASP Charles Maurice Onyango (OCS); ASP Nicholous StanslausKisinza (ORCI); A/INSP Marco Mbuta Chigingozi (A/ISP); Inspector John Yesse Msuya (Medical
Doctor); Shirazi Ally Mkupa (A/ISP); and (I/I/Coplo Salim Juma Mbalu.
They are all charged with the murder of one Musa Hamis Hamis contrary to sections 196 and 197 of the Penal Code, Cap. 16 R.E. 2022.
The particulars of the offence are that, on the 5th day of January 2022, at Mitengo Police Station within Mtwara District in Mtwara Region, the accused persons murdered one Musa Hamis Hamis (hereinafter to be
referred to as the deceased).

To fully grasp the circumstances of the alleged catastrophic death of the deceased, a concise narration of the factual background of the

Page 2

READ MORE:
Source : Republic vs Gilbert Sostenes Kalanje and Others (Criminal Sessions Case No. 15 of 2022) [2025] TZHC 3257 (23 June 2025)

Republic vs Gilbert Sostenes Kalanje and Others (Criminal Sessions Case No. 15 of 2022) [2025] TZHC 3257 (23 June 2025)
 
Back
Top Bottom