Mtwara: Askari wawili wahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara

Mtwara: Askari wawili wahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa askari wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi Hamisi, yaliyodaiwa kufanyika mwaka 2022 mkoani Mtwara.

Watuhumiwa watano wameachiwa huru baada ya mahakama kuwakuta hawana hatia.

#AzamTVUpdates
John Kasembe
Mhariri | John Mbalamwezi
Hii ni Habari mbaya Sana hii.

Angalau wangenyongwa sita na angeachiwa huru mmoja, kidogo hii ingesaidia kurejesha hali ya Usalama kwa Umma
 
Yule aliyemtolea bastola bumunda mwandamizi NMN naye yupo?
Nae alikua kwenye hii ishu pia??? Dah hii kazi.....
20250509_160113.jpg
 
Sema kama umeongea kitu hivi? Ila wakitoka wanakua ndio basi tena
Wanakua uraiani sio ndio basi tena kwani mfungwa huru hana haki ya kuishi maisha mengine uraiani kikubwa atahama eneo tu ataende kuishi kwingine ambako hawajui km aliwahi kuua
 
hao sindio wako na yule mwamba aliyemtolea chuma nape? natamani kuwajua kwa sura waliokula hicho kitanzi ambacho maraisi wanaogopaga kusaini ila kuteka na kuua mtani aaaaaaaaaaaaah sana tu kwao ole wako uwaambie ukweli.
IMG_0649.jpeg
 
Wote wanarudi mahaka haijawakuta na hatia
Nadhani Kuna kanuni ya utumishi katika majeshi, kama mtu aliwahi kushitakiwa Kwa jinai, ni kigezo cha kumfukuza kazi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom