Bado big fishesWe Endelea kutumika kuua na kuumiza watu ukitegemea utalindwa.
View attachment 3380080
Ujumbe: Shetani hana Rafiki
Bado the biggest fish of all
Kina Bageni ambao ni askari wapo jela hadi leo miaka kadhaa wakisubiri kitanzi halafu wewe unazungumzia habari za danganya toto?Hakai sana huyo anatoka ni mambo ya mfumo tu hayo kuonyesha kwamba unatenda haki, danganyatoto tu
Ni suala la muda tuKina Bageni ambao ni askari wapo jela hadi leo miaka kadhaa wakisubiri kitanzi halafu wewe unazungumzia habari za danganya toto?
Vipi kuhusu kina Bageni ambao ni askari?Ni suala la muda tu
Yule anayefyatua risasi ndiye muuwaji kwa mujibu wa Katiba ya Kenya 🇰🇪Bado the biggest fish of all
Mimi siyo afande kama Mwenyekiti wako mstaafu 😂😂😂🇹🇿bado wewe 😀 😀 😀 😀 😀
Mmoja wapo wa waliohukumiwa kunyongwaYule aliyemtolea bastola bumunda mwandamizi NMN naye yupo?
Wewe ndio nyapala au Bwana Jela?Vipi kuhusu kina Bageni ambao ni askari?
Hujajibu swali hili mkuu. Wapo jela sijui mwaka wa 15 ama zaidi.
None of them.Wewe ndio nyapala au Bwana Jela?
Basi hujui kitu relax bwamdogoNone of them.
Usiogope kusema TanganyikaYule anayefyatua risasi ndiye muuwaji kwa mujibu wa Katiba ya Kenya 🇰🇪
Basi sawaMmoja wapo wa waliohukumiwa kunyongwa
Acha anyongweNi jambazi mwenye uniform
Hujui?Anahusiana vipi na hiyo kesi?
Haki haijatendeka kwanini hao watano wachomoke?Hatimaye haki imetendeka na roho ya marehemu itapumzika sasa.. Japo Kati ya hao waliobaki kuna namna walihusika Ila ushahidi haukutosha