Hakai sana huyo anatoka ni mambo ya mfumo tu hayo kuonyesha kwamba unatenda haki, danganyatoto tuNa kijisuti chake mwenyewe cha damu ya mzee huyooo kwa Alwatan Ayatollah Mnyapara akaone maisha bila uniform yalivyo
Hii ni Habari mbaya Sana hii.Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa askari wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi Hamisi, yaliyodaiwa kufanyika mwaka 2022 mkoani Mtwara.
Watuhumiwa watano wameachiwa huru baada ya mahakama kuwakuta hawana hatia.
#AzamTVUpdates
John Kasembe
Mhariri | John Mbalamwezi
Sema kama umeongea kitu hivi? Ila wakitoka wanakua ndio basi tenaHakai sana huyo anatoka ni mambo ya mfumo tu hayo kuonyesha kwamba unatenda haki, danganyatoto tu
Hapana.Hatimaye haki imetendeka na roho ya marehemu itapumzika sasa.. Japo Kati ya hao waliobaki kuna namna walihusika Ila ushahidi haukutosha
Kwani na SABAYA naye KANYONGWA???Yule aliyemtishia Nape kanyongwa?
Nae alikua kwenye hii ishu pia??? Dah hii kazi.....Yule aliyemtolea bastola bumunda mwandamizi NMN naye yupo?
Wanakua uraiani sio ndio basi tena kwani mfungwa huru hana haki ya kuishi maisha mengine uraiani kikubwa atahama eneo tu ataende kuishi kwingine ambako hawajui km aliwahi kuuaSema kama umeongea kitu hivi? Ila wakitoka wanakua ndio basi tena
Mchana askari usiku mtekaji au sio na wanatinga nazo mahakamani kuonyesha sampoNae alikua kwenye hii ishu pia??? Dah hii kazi.....
View attachment 3380102
AlikuwaNae alikua kwenye hii ishu pia??? Dah hii kazi.....
View attachment 3380102
hata hao wawili utashangaa, wataachiwa kwenye rufaaHii ni Habari mbaya Sana hii.
Angalau wangenyongwa sita na angeachiwa huru mmoja, kidogo hii ingesaidia kurejesha hali ya Usalama kwa Umma.
hao sindio wako na yule mwamba aliyemtolea chuma nape? natamani kuwajua kwa sura waliokula hicho kitanzi ambacho maraisi wanaogopaga kusaini ila kuteka na kuua mtani aaaaaaaaaaaaah sana tu kwao ole wako uwaambie ukweli.
Anahusiana vipi na hiyo kesi?Yule aliyemtolea bastola bumunda mwandamizi NMN naye yupo?
Walioachiwa huru wote wanarudi kaziniHii ni Habari mbaya Sana hii.
Angalau wangenyongwa sita na angeachiwa huru mmoja, kidogo hii ingesaidia kurejesha hali ya Usalama kwa Umma.
Hawarudi kaziniWalioachiwa huru wote wanarudi kazini
Huwa wakitoka mara nyingi position zao zimeshazibwa, nadra sana kurudi kwenye payrollSema kama umeongea kitu hivi? Ila wakitoka wanakua ndio basi tena
Wote wanarudi mahaka haijawakuta na hatiaHawarudi kazini
Wanakaa bench
Nadhani Kuna kanuni ya utumishi katika majeshi, kama mtu aliwahi kushitakiwa Kwa jinai, ni kigezo cha kumfukuza kaziWote wanarudi mahaka haijawakuta na hatia
Acha kufananisha Kenge na vitu vya ajabu Bata wewe sawa?Allahmudulilah!
Hawa kenge wamepata haki yao
Ni jambazi mwenye uniformAlikuwa