Mtwara: Askari wawili wahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara

Hukumu inasema kunyongwa hadi kufa sio kuhukumiwa kunyongwa tu wanaweza kunyongwa na wasife jombaa tena hao ilitakiwa wasipate hata nafasi ya kuvuta sigara wawe wameshategua stuli..
 
Tukumbuke Gilbert kalanje,
Aliehukumiwa kifo kunyongwa
Ndie aliemtishia NAPE bastola
 
Jamaa wala hana wasiwasi, anakopelekwa kuna washikaji wenzake ikiwa ni pamoja na hao wanaomlinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…