Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

Acha UJINGA, nimelitumikia Jeshi la Polisi Tanzania kwa miaka 9 na kwa level zote Junior Officer na Senior Officer(Inspector), hivyo nina uhakika wa Asilimia 100 kwa ninachokisema

Yaaan senior officer ndio Inspector? Naanza kupata waswas kama unalijua jeshi weye
 
Kesi hizi huwa mwanzo zinajulikana,Ila mwisho huwa haujulikani.Hakuna updates.
 
Taarifa ina maelezo marefu sana sana, nimeshindwa kuendelea, ahsanteni mlioniwakilisha kuisoma

Duh, askari hao, aibu sana, hawakutegemewa siku moja kupigwa pingu.....haki itendeke
 
You must be joking. Mwanzo umeeleza kwa usahihi sana kuhusu hayo magenge. Sasa kabla hujatoa mapendekezo jiulize ni “mazingira” gani yanayofanya polisi, TISS, na vyombo vingine vya dola kuwa kama magenge ya kimafia?
Wanakuwa Kama Magenge ya kimafia pale Watu hao wanapokiuka Sheria, Miiko na Maadili ya kazi yao na kufanya Uhalifu. Pale wanapovunja Haki za binadamu (Serious or Grave human rights violation).
Ni KWELI kabisa kwamba wao pia ni sehemu ya tatizo/janga hili.
 
Unamshauri rais? Una maana unaamini kuwa yeye yuko “gizani” kuhusu matendo ya kigaidi yanayofanywa na hayo magenge ya kimafia yaliyo chini ya uongozi wake?
 
Hivi Kesi hii iliishia wapi? Hukumu tayari ilishatolewa au bado?
Tumeshahama kwenye hili tukio na media zinajua wananchi tunataka habari za motomoto sio muendelezo wa habari zilizopita "kiporo". Matukio mapya yanafunika yale ya zamani siku zinasonga.
Hapo tusubiri "connection" ambayo itatusahaulisha matukio ya sasa.
 
Na hii kesi ya kalanje hukumu imekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…