Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini



Ewe Police ulie kazini, angalia hii picha ya hao jamaa wenzako ambao walikuwa wananyanyasa rai sababu ya magwanda yao...

Mkiendelea na huo ubaya wenu mna mambo mawili, mtaishia kama wao, au mtakuwa na utu mzima wa mateso, masikitiko na dhiki sana.
 
Ukisoma Ushahidi wa huyo ACP Mgonja anaeleza kwamba siku walipomfuata huyo Dr.kwenye Zahanati kwenda kumchukua na kwenda nae kituoni kwa nia ya kumchoma Sindano Mtuhumiwa,gari alikuwa anaendesha SP Gilbert na siti za nyuma alikaa Onyango(Mkuu wa Kituo ambaye ni Mtuhumiwa namba 2, katikati alikaa huyo kijana(Marehemu)na pembeni alikaa Askari(Inspekta Msaidizi Greyson)ambaye ndie baadaye inasemekana alijinyonga Mahabusu. Baada ya isu kubumbuluka,inaonekana yule Askari A/Inspekta Greyson alinyoosha maelezo kwa kueleza ukweli kwenye Mahojiano maana alikuwepo kuanzia wakati wa kumfuata Daktari mpaka wakati kijana ananyongwa,kilichompata ni kukutwa kajinyonga Mahabusu[emoji28]kazi kwako kuunganisha dots
 
Daah hata sielewi hawa jamaa wamemuua mtu mmoja kwa pesa ndogo kabisa inaonekana hicho kikosi kimeua watu wengi sana ila hii ndio imetambulika ni vile Nchi hii tunabebana sana ingekua Nchi zinazotunza DNA za mauaji yaliyotokea Mkoa huo wangeangaliwa na hizo kesi zingine pia ili kuwaunganisha waende na kesi zao huko...
 
Hatari saana
 
Nimeelewa sana mzee wangu
 
Mkuu babu yangu pia aliwaambia watoto wake hivyohivyo pia kiufupi agizo kutoka juu hatutakiwi kua mapongo
 
We jamaa wewe.....!!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…