Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,330
- 3,289
Mussa Hamisi hakuwa tajiri hata kidogo. Ni kizazi masikini na alikua anachimba madini shimo likatema akadhulumiwa na hao polisi wakaona itakuwa msalama wakaamua wamzime kama taa.Hutu Tajiri Mussa Hamisi Hamisi atakuw amtu mzito na mtu wa chama.
Sio rahisi kesi yake kusimama hivi. Kama tulivyozoea.
Vinginevyo tunawapongeza Jeshi la Polisi na Serikaki kusimamia haki.
Sema hii kesi ina mkono wa Katelephone waziri mkubwa. Yeye ndo alifosi mpaka tume iundwe ya kufanya uchunguzi kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambaye alikua Kanali wa Jeshi kama sikosei.
Otherwise wangeizima kimya kimya. Polisi sio watu.