Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

Hapa IGP inabidi aachie ngazi mwenyewe kabla ya kushinikizwa kuachia.
Kama hadi leo hajaachia ngazi, na hata mamlaka yake ya uteuzi iko kimya, tusitegemee lolote kutokea. Ujue huyu IGP alifanya kazi kubwa sana kwa chama chetu kupeleka wabunge wote kule mjengoni. Sasahivi hoja zikipelekwa kule zinapita kwa kuteleza tu. Nadhani tumvumilie abaki na uIGP hadi astaafu mwakani, tumlindie heshima kama alivyotulindia kwenye uchafuzi wa 2020.
 
Baada ya sakata kupamba moto mpaka kufikia mweshimiwa raisi kuamua kuunda tume ya uchunguzi ,watu wengi walitaka kujua kinacho endelea.

Ilala sasa naona mda au itatolewa hukohuko mahakamani
 
Hawawezi wakatoa ripoti watakuwa wameshahukumu, nafikiri walio hojiwa watakuja km mashahidi mahakamani
 
... kabisa! And one of the reforms should be establishment of an oversight body to oversee TPF! Hawa manyang'au wanajitendea wapendavyo kwa kiburi hakuna wa kuwahoji; yaani wao ni alpha na omega!
Uwaombe radhi wakristo, polisi unawapa sifa ya alfa na omega, mwenzako Jiwe kaliita simba wa yuda, kashukiwa kama mwewe.
 
Kifo Cha Hamza kichunguzwe maana polisi ni wauwaji sana
 
Back
Top Bottom