Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

Kwanini unataka ujione wewe ndo swhihi kuliko Mimi?
Yaani unachokiamini wewe ndo sahihi ila Mimi nakossea?
Heshimu mawazo ya mtu.
ACHA UPUMBAVU.
Sijakulazimisha uamini msimamo wangu kuhusu mbowe na wewe usinilazimishe.
Mimi naamini mbowe kuna sehemu alikosea.
Sasa Kama unaona mbowe hajakosea hizo ni akili zako
Sasa usinilazimishe niwe na akili Kama zako.wewe sio mungu useme umekamilika na mawazo yako ni sahihi
We bwege hao jamaa hats mwinyi rais waa zenji aliwatumia 80k na yeye alifadhili ugaidi? Shubamit
 
Kama mbowe alikosea TUSEME UKWELI alikosea
Unaweza kuniambia urafiki wa mbowe na urio ulikuwa unahusu Nini?
zimekutwa calls,sms na miamala ya simu ya mbowe kwenye simu ya urio unaweza kutolea ufafanuzi?
"UWE NA AKILI HURU"
JIFUNZE KUHOJI
Aheri ungenyamaza tu. Nadhani kuna mahali, kichwani mwako hakujakaa vizuri.

Wenye akili wote wanajua kuwa mawasiliano ya Mbowe na Urio yalihusu Mbowe kupata walinzi wenye mafunzo na weledi. Maibilisi akina Kingai, na ibilisi wao mkuu, Marehemu, wakaona wamepata fursa ya kuwabambikia kesi Mbowe na Urio. Baadaye wakagundua hawana ushahidi. Baada ya kumtesa sana Urio, wakamlazimisha kwa vitisho awe shahidi upande wao dhidi ya Mbowe.
 
Jeshi liache kuajiri majambazi, maana wanawafundisha hata wasio majambazi kuwa majambazi. Jana nimeangalia movie inaitwa training day ya Denzel Washington, inafanana sana na hiki kisa cha Mtwara.
 
Umesema kweli tupu
 
Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.

Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)

Yale yale ya wafanya biashara wa Ifakara bila kumsahau yule aliyebatizwa ugaidi - Hamza msomali.
 
Jeshi liache kuajiri majambazi, maana wanawafundisha hata wasio majambazi kuwa majambazi. Jana nimeangalia movie inaitwa training day ya Denzel Washington, inafanana sana na hiki kisa cha Mtwara.
Hii haiwez kuishaa kwenye upolisi

Ova
 
Kwanini unataka ujione wewe ndo swhihi kuliko Mimi?
Yaani unachokiamini wewe ndo sahihi ila Mimi nakossea?
Heshimu mawazo ya mtu.
ACHA UPUMBAVU.
Sijakulazimisha uamini msimamo wangu kuhusu mbowe na wewe usinilazimishe.
Mimi naamini mbowe kuna sehemu alikosea.
Sasa Kama unaona mbowe hajakosea hizo ni akili zako
Sasa usinilazimishe niwe na akili Kama zako.wewe sio mungu useme umekamilika na mawazo yako ni sahihi
Hauwezi ukawa sahihi kwa kuwa na misimamo katika jambo ambalo hauna ujuzi nalo/ haujalisomea, utakuwa unajilisha upepo tu na kudhihirisha ujinga wa kiwango cha juu ambao ndiyo upumbavu halisi.

Dpp, majaji na mawakili wenye taaluma bobezi za jambo husika wameona hakuna ushahidi wa kumtia mtuhumiwa hatiani, wewe usiye na hata Cheti cha sheria unabwabwaja humu kwamba ana kosa. Huu Ndiyo upumbavu.

Unashikilia misimamo ya kijinga eti kosa kuwatumia makomandoo, mbona Hadi sasa Ndiyo walinzi wake na wajuzi wa sheria hawalioni kosa, wewe twambie sheria gani imekiukwa.

Nadhani hapa utakuwa umeona ujinga wako ulivyovuka mipaka kuingia kwenye upumbavu.
 
HAKUNA ushahidi wa kumtia hatiani?
Kumbe wewe akili huna.
Alipoambiwa ana kesi ya kujibu maana yake Nini?

Ndiyo maana nimekwambia wewe hata Cheti cha sheria hauna, na hapa ndipo ujinga wako unapokithiri kwa kujadili vitu ambavyo hauna elimu navyo na unalazimisha upotofu wako. Na hiki unachokifanya Ndiyo upumbavu.

Mahakama kusema kuwa kuna Kesi ya kujibu haimaanishi kuwa una hatia, Rudi shule upunguze upumbavu ubaki hata na jina lako.
 
Sasa wewe una uhakika gani mbowe hana HATIA?
Wakati mahakama haijatoa hukumu?
Kama wewe umesoma ni FURUSHI

Kasome sababu zinazoweza kumfanya dpp kufuta Kesi ndipo utapata jib la swali hili. Kama hauwezi kusoma Basi kwa ujinga huu utakuwa umefika kiwango kingine.
 
Aliyefuta kesi NI DPP AU SAMIA?
Kasome sababu zinazoweza kumfanya dpp kufuta Kesi ndipo utapata jib la swali hili. Kama hauwezi kusoma Basi kwa ujinga huu utakuwa umefika kiwango kingine.
 
Aheri ungenyamaza tu. Nadhani kuna mahali, kichwani mwako hakujakaa vizuri.

Wenye akili wote wanajua kuwa mawasiliano ya Mbowe na Urio yalihusu Mbowe kupata walinzi wenye mafunzo na weledi. Maibilisi akina Kingai, na ibilisi wao mkuu, Marehemu, wakaona wamepata fursa ya kuwabambikia kesi Mbowe na Urio. Baadaye wakagundua hawana ushahidi. Baada ya kumtesa sana Urio, wakamlazimisha kwa vitisho awe shahidi upande wao dhidi ya Mbowe.
Sijui kama ameelewa hapa? mjingamimi
 
Back
Top Bottom