naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Hata Kama hakuwa mfanya biashara kweli kwa Nini wampore hela.zake? Wakajua atawashtaki wakaamua kutoa roho kabisa kupoteza ushahidiAlikuwa mfanyabiashara kweli? Huo ni upande wa pili wa shilingi. Hawa polisi walifanya unyama sana