Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KifungoKifuatacho...
Ngoja tuone kama itakua kweli...Kifungo
Yani yule dogo alidhulumiwa vibaya sana. Halafu alivyoenda kuomba arudishiwe hela yake wakamfungie na kumkaliisha chini kwenye safaku msaa kadhaa kabla ya kumuua.Hatua zichukuliwe kwa waliohusika na waliufumbia macho Hilo swala.
Nashauri,
Waanze na kule top layer kushuka huku chini[emoji4]
China ya wapi hiyo mkuu ambayo haki inatolewa na tume?Ripoti imeshathibitisha kuwa wanahatia ila cha ajabu mahakama nayo inakuja kuthibitisha ukweli usiokuwa na shaka yoyote.
Kwa wenzetu wachina wakiunda tume ikaja na ripoti hakuna kupoteza muda mahakamani. Hukumu inaanza kutekelezwa mara moja
Nani Atakuwa Mlinzi wa Walinzi Wetu?!Da Nihatari sana Pesa Zako na Bado Unatolewa Uhai na walio paswa Kukulinda
Mjinga ww kwenye kesi ya ugaidi ya mbowe ulikuwa kinyaaWalipoona Hamza kanyamazisha wakajua ni rahisi kumnyamazisha mtu na kuchukua chake.
Siro alifuga paka Sasa kageuka mbwa mwitu
Siro anajikomba kwa Rais wala hana issue, huyu mzee yupo tayari hata kumuua mama ake mbele ya cheoTaarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara imebaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)
Ushauri mzuri lakini, haya mambo ya kuanzia juu huwa si kwa ajili ya nchi za kiafrika....
Nashauri,
Waanze na kule top layer kushuka huku chini[emoji4]
Siro hafai kuwa IGP, pia polisi ivunjwe na kuundwa upyaWalipoona Hamza kanyamazisha wakajua ni rahisi kumnyamazisha mtu na kuchukua chake.
Siro alifuga paka Sasa kageuka mbwa mwitu
Wanyongwe harakaSasa ile kesi ya wale polisi kule mahakamani ifanyiwe mpango iende kwa haraka watu wakalazwe wanapostahili.
Hata RPC na RCO inatakiwa wachukuliwe hatua kali snHatua zichukuliwe kwa waliohusika na waliufumbia macho Hilo swala.
Nashauri,
Waanze na kule top layer kushuka huku chini[emoji4]