Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
😁😄Siro ana subiri nini ofisini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😄Siro ana subiri nini ofisini?
We bwege hao jamaa hats mwinyi rais waa zenji aliwatumia 80k na yeye alifadhili ugaidi? ShubamitKwanini unataka ujione wewe ndo swhihi kuliko Mimi?
Yaani unachokiamini wewe ndo sahihi ila Mimi nakossea?
Heshimu mawazo ya mtu.
ACHA UPUMBAVU.
Sijakulazimisha uamini msimamo wangu kuhusu mbowe na wewe usinilazimishe.
Mimi naamini mbowe kuna sehemu alikosea.
Sasa Kama unaona mbowe hajakosea hizo ni akili zako
Sasa usinilazimishe niwe na akili Kama zako.wewe sio mungu useme umekamilika na mawazo yako ni sahihi
Aheri ungenyamaza tu. Nadhani kuna mahali, kichwani mwako hakujakaa vizuri.Kama mbowe alikosea TUSEME UKWELI alikosea
Unaweza kuniambia urafiki wa mbowe na urio ulikuwa unahusu Nini?
zimekutwa calls,sms na miamala ya simu ya mbowe kwenye simu ya urio unaweza kutolea ufafanuzi?
"UWE NA AKILI HURU"
JIFUNZE KUHOJI
Umesema kweli tupuAheri ungenyamaza tu. Nadhani kuna mahali, kichwani mwako hakujakaa vizuri.
Wenye akili wote wanajua kuwa mawasiliano ya Mbowe na Urio yalihusu Mbowe kupata walinzi wenye mafunzo na weledi. Maibilisi akina Kingai, na ibilisi wao mkuu, Marehemu, wakaona wamepata fursa ya kuwabambikia kesi Mbowe na Urio. Baadaye wakagundua hawana ushahidi. Baada ya kumtesa sana Urio, wakamlazimisha kwa vitisho awe shahidi upande wao dhidi ya Mbowe.
Kuanzia ss hana cku 90 ofcn read my lips!Mpaka wamfagie
Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini.
Pia soma
- Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7 (25/01/2022)
Anasubiri riportSiro ana subiri nini ofisini?
Siku hizi anaitwa Maguire beki bingwa wa boko wa Man Utd.Siro ana subiri nini ofisini?
Hii haiwez kuishaa kwenye upolisiJeshi liache kuajiri majambazi, maana wanawafundisha hata wasio majambazi kuwa majambazi. Jana nimeangalia movie inaitwa training day ya Denzel Washington, inafanana sana na hiki kisa cha Mtwara.
Hauwezi ukawa sahihi kwa kuwa na misimamo katika jambo ambalo hauna ujuzi nalo/ haujalisomea, utakuwa unajilisha upepo tu na kudhihirisha ujinga wa kiwango cha juu ambao ndiyo upumbavu halisi.Kwanini unataka ujione wewe ndo swhihi kuliko Mimi?
Yaani unachokiamini wewe ndo sahihi ila Mimi nakossea?
Heshimu mawazo ya mtu.
ACHA UPUMBAVU.
Sijakulazimisha uamini msimamo wangu kuhusu mbowe na wewe usinilazimishe.
Mimi naamini mbowe kuna sehemu alikosea.
Sasa Kama unaona mbowe hajakosea hizo ni akili zako
Sasa usinilazimishe niwe na akili Kama zako.wewe sio mungu useme umekamilika na mawazo yako ni sahihi
Hauwezi ukawa sahihi kwa kuwa na misimamo katika jambo ambalo hauna ujuzi nalo/ haujalisomea, utakuwa unajilisha upepo tu na kudhihirisha ujinga wa kiwango cha juu ambao ndiyo upumbavu halisi.
Dpp, majaji na mawakili wenye taaluma bobezi za jambo husika wameona hakuna ushahidi wa kumtia mtuhumiwa hatiani, wewe usiye na hata Cheti cha sheria unabwabwaja humu kwamba ana kosa. Huu Ndiyo upumbavu.
Unashikilia misimamo ya kijinga eti kosa kuwatumia makomandoo, mbona Hadi sasa Ndiyo walinzi wake na wajuzi wa sheria hawalioni kosa, wewe twambie sheria gani imekiukwa.
Nadhani hapa utakuwa umeona ujinga wako ulivyovuka mipaka kuingia kwenye upumbavu.
Haitabadili majukumu yao.Hebu icheki Kenya police.Police force should be reformed Tobe police service
Ndiyo maana nimekwambia wewe hata Cheti cha sheria hauna, na hapa ndipo ujinga wako unapokithiri kwa kujadili vitu ambavyo hauna elimu navyo na unalazimisha upotofu wako. Na hiki unachokifanya Ndiyo upumbavu.HAKUNA ushahidi wa kumtia hatiani?
Kumbe wewe akili huna.
Alipoambiwa ana kesi ya kujibu maana yake Nini?
Ndiyo maana nimekwambia wewe hata Cheti cha sheria hauna, na hapa ndipo ujinga wako unapokithiri kwa kujadili vitu ambavyo hauna elimu navyo na unalazimisha upotofu wako. Na hiki unachokifanya Ndiyo upumbavu.
Mahakama kusema kuwa kuna Kesi ya kujibu haimaanishi kuwa una hatia, Rudi shule upunguze upumbavu ubaki hata na jina lako.
Hawakuridhika na uporaji wa fedha pekee yake wakampora mpaka uhai wake.
Kasome sababu zinazoweza kumfanya dpp kufuta Kesi ndipo utapata jib la swali hili. Kama hauwezi kusoma Basi kwa ujinga huu utakuwa umefika kiwango kingine.Sasa wewe una uhakika gani mbowe hana HATIA?
Wakati mahakama haijatoa hukumu?
Kama wewe umesoma ni FURUSHI
Kasome sababu zinazoweza kumfanya dpp kufuta Kesi ndipo utapata jib la swali hili. Kama hauwezi kusoma Basi kwa ujinga huu utakuwa umefika kiwango kingine.
Sijui kama ameelewa hapa? mjingamimiAheri ungenyamaza tu. Nadhani kuna mahali, kichwani mwako hakujakaa vizuri.
Wenye akili wote wanajua kuwa mawasiliano ya Mbowe na Urio yalihusu Mbowe kupata walinzi wenye mafunzo na weledi. Maibilisi akina Kingai, na ibilisi wao mkuu, Marehemu, wakaona wamepata fursa ya kuwabambikia kesi Mbowe na Urio. Baadaye wakagundua hawana ushahidi. Baada ya kumtesa sana Urio, wakamlazimisha kwa vitisho awe shahidi upande wao dhidi ya Mbowe.