mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Muulize DPP kwa nini aliamua kufuta kesi kabla utetezi hawajaanza kutoa utetezi wao.
Unavyoona bongo kuna wa kumshinikiza IGP kuachia ngazi zaidi ya huyo boss wake?Hapa IGP inabidi aachie ngazi mwenyewe kabla ya kushinikizwa kuachia.
Kama hadi leo hajaachia ngazi, na hata mamlaka yake ya uteuzi iko kimya, tusitegemee lolote kutokea. Ujue huyu IGP alifanya kazi kubwa sana kwa chama chetu kupeleka wabunge wote kule mjengoni. Sasahivi hoja zikipelekwa kule zinapita kwa kuteleza tu. Nadhani tumvumilie abaki na uIGP hadi astaafu mwakani, tumlindie heshima kama alivyotulindia kwenye uchafuzi wa 2020.Hapa IGP inabidi aachie ngazi mwenyewe kabla ya kushinikizwa kuachia.
Uwaombe radhi wakristo, polisi unawapa sifa ya alfa na omega, mwenzako Jiwe kaliita simba wa yuda, kashukiwa kama mwewe.... kabisa! And one of the reforms should be establishment of an oversight body to oversee TPF! Hawa manyang'au wanajitendea wapendavyo kwa kiburi hakuna wa kuwahoji; yaani wao ni alpha na omega!
Ni wewe tu huna taarifaMarehemu aliporwa kiasi gani? Mbona taarifa inaficha ficha mambo?