Kwa Kuna tukio gani sijaelewa
Ni ndugu wa PMNimewakubali sana ndugu wamarehemu kwa kuuwasha moto.
SifahamuNi ndugu wa PM
kosa wafanye wengine then ilalamikiwe ccm?CCM wameiharibu sana hii nchi tumtegemee Mungu pekee kuiponya hii nchi.
watanzania tunakaupumbavu flani cha kushabikia ujinga. mtu akiwa na akili timamu hawezi shabikia ujinga ka huoShujaa kwako na umeficha matako yako hapo kwenu!!!!nenda kaunge juhudi kwa kujilipua wapasue bichwa lako.
hawa ndo wale mvua ikinyesha wanasema tunamshukuru raisi kwa mvua kunyesha, Chuki ifike mahali tuzipunguze mtu anaingiza lisilo husika kisa tu kichwani mwake anachuki dhidi ya chama flaniCCM imeingiaje hapa?? Roho mbaya ni Tabia ya Mtu
Na ipo siku watawageukia hao hao waliowazoesha na kuwafutilia mbali time will tellPoliccm hao. Ukimzoesha mbwa kukufuata Kuna siku utaingia nae msikitini......mliwazoesha kuuwa na kutesa Wapinzani na kuwapora Mali zao, mkashangilia. Endeleeni kushangilia sasa, na wataendelea sana kufanya unyama
Stress na njaa zimepanda kichwani.we ni mtu wa hovyo so utaandika hovyohovyo tu na akili yako ni mgando so huwezi fikiria kwa marefu
sikuhizi sijui watu wako na shida ganii. yani kama wamedata vile, mtu anashabikia ujinga tena wakuondoa uhai wa mtu kisa hajaguswa yeye
Hao ndio sampuli ya kina Kingai, Jumanne, Mahita, Makonda, Sabaya, nk nk. Kwao utu wa mtu si kitu. Kitu ni maslahi binafsi yasiyodumu hata muongo mmoja. Na hiyo ndio sura ya jeshi la Polisi ndugu zangu. Ukisikia raia wanayokumbana nayo, machozi yatakutoka. Na bado utaambiwa uchunguzi haujakamilika mpaka baada ya miaka 5! Mpaka Mahakama....Kuna tatizo kubwa la mifumo. Sio ya kikoloni wala sio yetu wenyewe, yaani uchotara.Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
=====
View attachment 2095921
JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7.
Inadaiwa maafisa hao wa polisi walijipatia kiasi hicho cha pesa wakati wakimfanyia upekuzi mfanyabiashara huyo. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Marck Njera imesema mauaji hayo yalifanyika Januari 5, 2022 na mwili wa marehemu ulitupwa kitongoji cha Majengo kijiji cha Hiari Wilayani Mtwara.
Maafisa wanaoshikiriwa ni Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara, Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara, Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara, Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta, Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na Koplo Salimu Juma Mbalu.
Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea.
Chanzo: Habari leo
Wangekuwa raia wasingekuwa hai saivi. Police wakifanya kosa ni mahakamani ila raia ni risasi.Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
=====
View attachment 2095921
JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7.
Inadaiwa maafisa hao wa polisi walijipatia kiasi hicho cha pesa wakati wakimfanyia upekuzi mfanyabiashara huyo. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Marck Njera imesema mauaji hayo yalifanyika Januari 5, 2022 na mwili wa marehemu ulitupwa kitongoji cha Majengo kijiji cha Hiari Wilayani Mtwara.
Maafisa wanaoshikiriwa ni Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango - Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara, Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza - Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara, Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga - Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara, Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta, Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na Koplo Salimu Juma Mbalu.
Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea.
Chanzo: Habari leo
CCM nyie ndio Chanzo Cha Matatizo. Serikali yenu imeshindwa kuwaadilisha watumishi wake.
Rushwa na uhalifu mmeuhalalisha kwa jina urefu wa kamba
Hizi huwa ni tasrifa za kuounguza hasira za wananchi.Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
=====
View attachment 2095921
...na amejinyonga na nini wakati wakati kila kitu wanaacha kaunta, ikiwemo mikanda, kabla hawaingja Mahabusu?Hii imenifanya nifikiri zaidi na nikajikuta napata maswali:-
1. Huko mahabusu alikua pekeyake..??
2. Wakati anataka kujinyonga kwanini mahabusu wengine hawakutoa taarifa..??
What if wamemnyonga ili kupoteza ushahidi??
To some extent
Halafu karibu wote Ni maafisa wakubwa tu. Mrakimu wa polisi sio mtu mdogo, Sasa Kama wenye nyota tatu wanapora vijihela vidogo Kama hivi, tutegemee Nini kutoka kwa koplo ambaye kamba yyake Ni fupi?Uporaji huo
Huu ni ujambazi kama ujambazi
Mwingine
Ova
Hatari sana mzeeHalafu karibu wote Ni maafisa wakubwa tu. Mrakimu wa polisi sio mtu mdogo, Sasa Kama wenye nyota tatu wanapora vijihela vidogo Kama hivi, tutegemee Nini kutoka kwa koplo ambaye kamba yyake Ni fupi?
Wazazi wasi tuzalie matoto kama mapolisiIla kwenye swala la Mbowe yeye Sirro ndiyo alikua msemaji mkuu akawa anaongea hadi anarusha mate[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chui ana babysit hawa watu.