Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Aisee
Nilikuwa mtwara toka ijumaa ndio stori imezagaa mjini , kwa kweli hawa polisi wamefanya tendo la kikatili sana akiongozwa na mkuu wa kituoKila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni Igp akichukua hatua.View attachment 2094681
Hamza, kokote roho yako iliko, tambua wewe ni shujaa wangu.
Eti ukimshawishi askari kupokea rushwa kosa ni lako sio lake kwasababu nae ni binadamu na ana matatizo. Ila askari akikushawishi ndo utoe taarifa kwao.
Kamba imejisokotea shingoni, tunajinyonga wenyewe! HatariiUrefu Wa Kamba Unatumaliza Sasa
Yale yale ya Afande ZOMBE na genge lake, kwa wale wafanya biashara ya madini!Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni Igp akichukua hatua.View attachment 2094681
Hawajui polisi huyu, polisi akiona pesa shughuli inaishia palepale, hao walio hai wamemuua mwenzao wanasingizia kajiua ili wamuangushie msalaHivi hili jeshi lina sifa nzuri?
Zombe yupo kwao songea na alishirikiKama haya yalitokea enzi za Mzee wa msoga,wafanyabiashara wanne waliuliwa na polisi,harafu wakasingizia walikuwa majambazi,thank God walioshiriki walihukumiwa kunyongwa.