Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Hao Watateteana Litaisha Kwa Ghiriba
Wengine Hawa Wanaongea Uongo Mtupu

View attachment 2094683
Eti ukimshawishi askari kupokea rushwa kosa ni lako sio lake kwasababu nae ni binadamu na ana matatizo. Ila askari akikushawishi ndo utoe taarifa kwao.

Huyu mpuuzi kahalalisha kutoa rushwa ikiwa tu askari atakubali ushawishi wako basi hamna kesi ya rushwa kati yenu.
 
Inasikitisha sana.

Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari

Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?

1643084032468.jpg
 
With all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!

ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai (sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
 
Hawa polisi sijui hawalipwi daah ni wasumbufu sana
 
Back
Top Bottom