Hii ishu imetokea kweli mm nipo Mtwara, mkuu wa kituo naye yupo ndani, na huyo wanaesema kajinyonga hapana, wamemuuaWith all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai (sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Safi....wauane tena hadi waishe... Damu ya mfanyabiashara itawabeba woteHii ishu imetokea kweli mm nipo Mtwara, mkuu wa kituo naye yupo ndani, na huyo wanaesema kajinyonga hapana, wamemuua
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Duh,inaonekana ndiye mwenye mchoro mzimaHii ishu imetokea kweli mm nipo Mtwara, mkuu wa kituo naye yupo ndani, na huyo wanaesema kajinyonga hapana, wamemuua
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Laki 3 kwa mwezi....
Sasa huyu ndio njia ya kuikwepa kesi. Na unaweza kukuta kanyongwa na wenziePolisi mmoja kati ya waliokamatwa kajinyonga mahabusu
Said mwema gani huyuhuyu? Haya ni machache tu kipindi chakeHeshima ya jeshi la polisi inategemea IGP anayeliongoza kwa wakati husika.
Kipindi Cha Mahita ilikua Bora ukutana na shetani kuliko ukutane na polisi.
Kipindi Cha Said Mwema jeshi hili lilianza kua jeshi la kiraia na watu wengi walilipenda jeshi letu.
Kwa Sasa hivi hata hao polisi wenyewe kwa wenyewe hawapendani na wanaogopana. Ukikutana nao usiku pita mbali, Kama Ni trafik ndio kabisaa especially trafik wa mkoa wa pwani.
RTO Pwani, pull up your socks.
Policcm hao. Ukimzoesha mbwa kukufuata Kuna siku utaingia nae msikitini......mliwazoesha kuuwa na kutesa Wapinzani na kuwapora Mali zao, mkashangilia. Endeleeni kushangilia sasa, na wataendelea sana kufanya unyama
Unawekani siasa pembeni wakati miongoni mwa waathirika wa vitendo vya polisi ni wanasiasa? Wanapoathirika wanasiasa wanakuwa wameathirika binadamu tena watanzania wenzetu kama ilivyo kwa huyo mfanyabiashara. Nyie mnaoshabikia wanasiasa waadhibiwe bila makosa kisa tu ni wapunzani halafu Leo mnataka tutenganishe vitendo viovu vya polisi dhidi ya wafanyabiashara na wanasiasa mnapotoka.ni vyema tukaacha kuleta siasa na kulielezea in-general, ujinga wa polisi ulikuwepo kabla hata ya vyama vingi vya siasa....Mwinyi alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani enzi za Nyerere kwa sababu ya ujinga huu huu wa mapoliso na vyombo vy adola...
Ni vyema kwa pamoja tukakemea ujinga huu dhidi ya raia...linapokuja suala la polisi na siasa huwa kuna mambo mengi ambayo pia yanahitaji jicho bila ushabiki wa siasa.... Lazima tukubali pia wanasiasa wanaweza kustage issues jeshi kama chombo kilicho chini ya serikali lifanye fyongo serikali nayo ionekane haifai...
Tukirudi kwenye hizi issue ambazo sio siasa basi tujaribu kuweka siasa pembeni ili wote tukae mstari mmoja kukemea...NI MTIZAMO TU..
Uko sahihi kabisa ila wakati wapinzani wakiuliwa mbona tulikaa kimyaaaaa? Mbona tulishangilia? Hakuna aliyesema kuwa Polisi wasifanye au wasiingilie mambo ya siasa? Haya sasa ndio mavuno yake. Wala sijashangilia nazungumzia factsni vyema tukaacha kuleta siasa na kulielezea in-general, ujinga wa polisi ulikuwepo kabla hata ya vyama vingi vya siasa....Mwinyi alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani enzi za Nyerere kwa sababu ya ujinga huu huu wa mapoliso na vyombo vy adola...
Ni vyema kwa pamoja tukakemea ujinga huu dhidi ya raia...linapokuja suala la polisi na siasa huwa kuna mambo mengi ambayo pia yanahitaji jicho bila ushabiki wa siasa.... Lazima tukubali pia wanasiasa wanaweza kustage issues jeshi kama chombo kilicho chini ya serikali lifanye fyongo serikali nayo ionekane haifai...
Tukirudi kwenye hizi issue ambazo sio siasa basi tujaribu kuweka siasa pembeni ili wote tukae mstari mmoja kukemea...NI MTIZAMO TU..