Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Wayanyonge. Kabla ya kuyanyonga wayapeleke jela wakakutane na waliowabambikia kesi wakawalawiti kwanza kufidia uchungu waliowasababishia.
Polisi hata kama ni ndugu yako chunga sana asikujuejue. Ni mijahilia hii mijaa laana.
Kwahiyo bora wakatolewe marinda Kwanza ndio tuwapasue vichwa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
viongozi kuchukua atua ni tatizo ndio maana case za polisi kuua raia zinaongezeka. Kwa tukio lile la Shujaa Hamza ilitakiwa iundwe Tume ya Majaji ili waweze kuchunguza kwa nini Hamza apige askari tu? Kwa kuwa hakuna chochote kilichofanyika Polisi wanaendelea kuua watu tu.
 
Wale wazee wenzangu ambao macho yetu yanaelekea ukingoni, nimedokoa kwa Muhtasari;

-Alitiwa mbaroni akiwa nyumbani kwake mjini Nachingwea kisha kupelekwa Mtwara Mjini
-Baadae aliachiwa baada ya kuchukuliwa maelezo lakini alirudi Polisi kudai fedha zake zilizoshikiliwa
-Tangu aliporudi kituoni hapo kudai fedha zake alishikiliwa tena na kuhojiwa na baada ya hapo hakuonekana tena
-Taarifa Zaidi zinadai kuwa mfanyabiashara huyo aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa eneo linguine inadaiwa kuwa alichomwa sindano ya sumu kisha kutupwa Baharini

Hao ndio Polisi wetu wenye jukumu la kulinda raia na mali zao!

Mungu Ibariki Tanzania.
Wrong, Wrong, Wrong, Wrong
 
Niliagizwa kazi moja kwa POLICE....
Aisee hao wengi ni watu waliofeli maisha na kukata tamaa kabisaaaa..... YAANI ASKARI POLISI HAWANA MATUMAINI NA NI WAOGA WA MAISHA....
wao kuua maadam wana silaha na kusingizia uhalifu na jambo la kawaida.
NI WAOGA KUFANYA KAZI NA BIASHARA.... Wao ni kutapeli, kudhulumu na RUSHWA... Ni jeshi la waliofeli.
Uhakika wa kupata rushwa upo biashara ya nini stress.Polisi hakosi pesa
 
img_1_1639312400935.jpg
 
Back
Top Bottom