Wale wazee wenzangu ambao macho yetu yanaelekea ukingoni, nimedokoa kwa Muhtasari;
-Alitiwa mbaroni akiwa nyumbani kwake mjini Nachingwea kisha kupelekwa Mtwara Mjini
-Baadae aliachiwa baada ya kuchukuliwa maelezo lakini alirudi Polisi kudai fedha zake zilizoshikiliwa
-Tangu aliporudi kituoni hapo kudai fedha zake alishikiliwa tena na kuhojiwa na baada ya hapo hakuonekana tena
-Taarifa Zaidi zinadai kuwa mfanyabiashara huyo aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa eneo linguine inadaiwa kuwa alichomwa sindano ya sumu kisha kutupwa Baharini
Hao ndio Polisi wetu wenye jukumu la kulinda raia na mali zao!
Mungu Ibariki Tanzania.