Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Kuna police alikuwa anaitwa Benadi kama sikosei.kikosi chao kilikuwa na askari kazaa pale Morogoro ila nisingependa kuwataja.

Hawa police walikuwa wakifanya unyang'anyi wa kiujambazi kwa wa2 wengi sana.Ila uyu benad ambae aliingia kazini kwa kipaji cha kucheza mpila alipatwa na shida ya kuifiwa na mke wake.Ila cjajuwa kilichomuuwa mkewe.

Kutokana na kifo cha mkewake ambae alikuwa anafanya kazi SUA uyu askari akaamuwa kuokoka.
Sasa basi katika kuokoka kwake ilimbidi aanze kutubu matendo yote ambayo alikuwa wakiyafanya.
Apo ndio alikuwa anaamuwa kuyasema adhalani matendo ambayo alikuwa wakiyafanya na askali wenzake.siwezi kuelezea sana mambo ambayo walikuwa wakiyafanya ila hayatofautiani na aya waliyofanya askali wa mtwala akina Zombe.

Mwisho waliamua kutangaza kama yule askali amechanganyikiwa na wakampeleka dodoma milembe ila bado mshikaji alikoamaa na msimamo wake na kuamuwa kuandika vijalada kuutangazia uma kwa matendo yao waliyokuwa wakiwafanyia rahia hasa wafanya biashala wenye hela.

Mwisho kabisa uyu askali walimkuta amejinyonga ila kwanye mazingila yanaonyesha kuwa aliuwawa ila kwakuwaa upelelezi wanafanya wao hivyo walifanikiwa kumpoteza. Kati ya maaskari waliobaki ni yule ambae niliona you tube amejitengenea kabuli.Nazani damu za wasio na hatia zishaanza kumtafuna...

Nazani damu za watu wasio na hatia.. 76 nazani anaitwa. naomba nisiongee sana maana zama za jiwe bado zinaendelea...Matendo yanayo tendeka sasa c mageni kwenye idala hii😭😢!!!
 
Mama samiah bado ana entertain huu upuuzi? Ni vyema akamdalisha haraka SIRRO maana umri umemtupa mkono hivyo kila kinachofanyika yeye anaona ni sawa tu…

Jeshi hili chini ya mzee Nyakoro limepoteza ufanisi wake kwa 100%
 
kuna police alikuwa anaitwa Benadi kama sikosei.kikosi chao kilikuwa na askari kazaa pale Morogoro ila nisingependa kuwataja.
hawa police walikuwa wakifanya unyang'anyi wa kiujambazi kwa wa2 wengi sana.Ila uyu benad ambae aliingia kazini kwa kipaji cha kucheza mpila alipatwa na shida ya kuifiwa na mke wake.Ila cjajuwa kilichomuuwa mkewe.
Mpila, adhalani,mtwala, rahia,aya,uyu,nazani,idala. Umeniudhi sana wewe jamaa
 
Serikali iliamua kuwaajiri wenyewe hao majambazi siye tunaojua utu wakatuacha kisa siyo watoto wa fulani
 
Waandishi wa habari walitaka kupata Maelezo ya kilichosababisha mfanyabiashara wa madini afariki akiwa mikononi mwa polisi lakini IGP Sirro akasema yeye yuko kwenye ziara ya Waziri hivyo ni vema waandishi hao wakamuuliza Waziri.

Source: ITV habari
Waziri ndiyo msemaji wa POLICE Tanzania?Waziri ndiye aliwatuma kukamata,kutesa,kupora madini na kusababisha mauti?
 
Hao jamaa wakamatwe wakatupwe kwenye zoo ya mamba
 
Ukifwatilia kesi ya Mbowe utaona kiasi gani jeshi la polisi linahitaji overhaul ya kufa mtu..maana wanafanya kazi nje ya utaratbu sana..wanaonewa ni wengi sema hawana pakusema.Sio sehem sahihi sana kuapata msaada
 
View attachment 2095563


Jeshi la Polisi Mkoani limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba (7) kwa tuhuma za kufanya mauaji ya kijana Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi.

Mauaji hayo yamefanyika baada ya marehemu Mussa Hamisi kudai fedha zake shilingi Milioni 33,748,980 ambazo maafisa hao wanadaiwa kuzichukua kutoka kwa kijana huyo baada ya kumfanyia upekuzi.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Marck Njera amesema mauaji hayo yalifanyika Januari 5, 2022 na mwili wa marehemu ulitupwa kitongoji cha Majengo kijiji cha Hiari wilaya ya Mtwara.

Maafisa wanaoshikiriwa ni Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Charles Onyango -Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara, Mrakibu wa Polisi Msaidizi Nicholaus Kisinza -Mkuu wa Kikosi cha Intelejensia ya Jinai mkoa wa Mtwara, Mkaguzi wa Polisi John Msuya Mganga- Mkuu wa Zahanati ya Polisi Mtwara, Mkaguzi wa Polisi Msaidizi Marco Mbuta, Mkaguzi wa Polisi Shirazi Mkupa na Koplo Salimu Juma Mbalu.
Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea.

Source: Kusiniyetu Online Tv.
Yale yaleeee Ya Hamza . inatia hasira sana wamemuua kwasababu wameogopa kwamba wakimuacha hai atakuja kuwamiminia risasi kama zile za Hamza.
 
Back
Top Bottom