Uchaguzi 2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni:

1. Mtwara Mjini
Hassan Seleman (CCM) - Kura 22, 411

Abdallah Nachuma wa (CUF) - Kura 13,586
Hassani Abdallah wa (ACT-Wazalendo)- Kura 1,113

2. Mtwara Vijijini
Shamsia Mtamba(CUF) - Kura 26,262
Hawa Ghasia(CCM) - Kura 18,505.

3. Nanyamba-
Abdallah Chikota (CCM) - Kura 22,262

4. Tandahimba-
Katani Ahmadi Katani (CCM)

5. Newala mjini
George Huruma Mkuchika (CCM) - Kura 18,705

Issa Juma Chilindima (CHADEMA) - Kura 12,546

6. Newala Vijijini-
Maimuna Mtanda (CCM)

7. Masasi-
Geofrey Mwambe (CCM) - Kura 17,147
Hamza Hakika (CUF) - Kura 14,087

8. Lulindi-
Issa Mchungahela (CCM)

9. Ndanda-
Cecil David Mwambe (CCM)

10. Nanyumbu
Mohammed Ally Yahya (CCM) - Kura 37,385

Nyichi Mantha Alfred (CHADEMA) - Kura 7767

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Mtwara ingeunganishwa na Lindi, maana huku mzee Baba anaambulia sifuri.
 
Mtwara ingeunganishwa na Lindi, maana huku mzee Baba anaambulia sifuri.
Haijalishi, kwani maandalizi ya kuapishwa tayari ninyi malizieni tu kuhesabu na sio leo halafu mzitunze.
 
Ukwaju vipi mzee mwenzangu?????
SIJAENDA HATA KUPIGA KURA toka wameminya Internet matokeo yanajulikana tu

Uchaguzi wa undavaundava bora JF itutenganishe na hizi siasa tukaburudike kwetu.

maana hawashindwi kufungia haka kajukwaa km kataanza kutoa matokeo kabla, maana Intr, Whats, tweet kote kalas.
 
Mtwara ingeunganishwa na Lindi, maana huku mzee Baba anaambulia sifuri.
Huku atashinda kwa kishindo. Mungu ni mwema nimefurahi kuona Mzalendo Magufuli anavyokubalika.

Congratulations in advance President Magufuli.

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Huku atashinda kwa kishindo. Mungu ni mwema nimefurahi kuona Mzalendo Magufuli anavyokubalika.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sahihi hata kwa kura moja Magufuli alipaswa kuendelea. Lakini Mungu ni mwema watanzania sio wajinga, wamechagua kwa akili.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20201029-WA0019.jpg

Huku Sababu ya umbali from Dar es Salaam inaelekea "Makaratee" hayakuweza kufanyika, au CCM wenyewe wamemchoka Bi. Hawa, na Mwisho labda ameachwa "Strategically"
 
Hapa sawa, ila wakishinda ccm sehemu
View attachment 1615329
Huku Sababu ya umbali from Dar es Salaam inaelekea "Makaratee" hayakuweza kufanyika, au CCM wenyewe wamemchoka Bi. Hawa, na Mwisho labda ameachwa "Strategically"
Hapa sawa na wamemchoka hawa, ila wakishinda ccm sehemu ambayo kulikuwa upinzani ccm wameiba kura
 
Back
Top Bottom