bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Ukitaka kujua namba haziongopi fanyaView attachment 1615329
Huku Sababu ya umbali from Dar es Salaam inaelekea "Makaratee" hayakuweza kufanyika, au CCM wenyewe wamemchoka Bi. Hawa, na Mwisho labda ameachwa "Strategically"
Kaangalie namba ya madiwani aliopewa mama huyo cheupe utaona walivyo waongo huyo mama amekuwa chambo ionekane upinzani hawakuonewa