B bulicheka 4 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2020 Posts 915 Reaction score 1,019 Oct 29, 2020 #21 Shark said: View attachment 1615329 Huku Sababu ya umbali from Dar es Salaam inaelekea "Makaratee" hayakuweza kufanyika, au CCM wenyewe wamemchoka Bi. Hawa, na Mwisho labda ameachwa "Strategically" Click to expand... Ukitaka kujua namba haziongopi fanya Kaangalie namba ya madiwani aliopewa mama huyo cheupe utaona walivyo waongo huyo mama amekuwa chambo ionekane upinzani hawakuonewa
Shark said: View attachment 1615329 Huku Sababu ya umbali from Dar es Salaam inaelekea "Makaratee" hayakuweza kufanyika, au CCM wenyewe wamemchoka Bi. Hawa, na Mwisho labda ameachwa "Strategically" Click to expand... Ukitaka kujua namba haziongopi fanya Kaangalie namba ya madiwani aliopewa mama huyo cheupe utaona walivyo waongo huyo mama amekuwa chambo ionekane upinzani hawakuonewa
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Oct 29, 2020 #22 Roving Journalist said: 2. Mtwara Vijijini Shamsia Mtamba(CUF) - Kura 26,262 Hawa Ghasia(CCM) - Kura 18,505 Click to expand... Aisee!!
Roving Journalist said: 2. Mtwara Vijijini Shamsia Mtamba(CUF) - Kura 26,262 Hawa Ghasia(CCM) - Kura 18,505 Click to expand... Aisee!!
H Heijah JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 5,466 Reaction score 8,937 Oct 29, 2020 #23 Kwa hiyo Mtwara hata mzee hajaenda kupiga kampeni na wameshinda kwa remote, kama ni kweli basi wapambane na hali zao na korosho zao maisha yaendelee.
Kwa hiyo Mtwara hata mzee hajaenda kupiga kampeni na wameshinda kwa remote, kama ni kweli basi wapambane na hali zao na korosho zao maisha yaendelee.