Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM A na CCM B hatuingilii mambo yenu ya ndaniMsimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.
Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
SureMnalalamika Nini? Mkiambiwa hakuna uchaguzi bongo mnagoma. Naunga mkono wizi wa CCM . Ibeni mpaka upinzani waache unafiki. Unashiriki uchaguzi huku ukijua utaibiwa very stupid.
Zitto anawaza jimbo la Kigoma mjini mengine hayamhusuKinana si alihudhuria mkutano mkuu wa ACT , na kumwaga porojo , halafu ikawaje tena ?
Huyu sahivi yupo busy na kupiga dili za njeNa January Makamba anakazia alafu nyumbu wanashangilia
Jibu mujarabu kabisa👊Ccm ndio hawaiwezi.
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.
Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu.
Kama hakuna hofu ya kushindwa . Kura feki zinapatikana vipi?
Na hup ni uchaguzi mdogo tu.