Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.

Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
CCM A na CCM B hatuingilii mambo yenu ya ndani
 
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.

Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.

Halafu kuna watu bado wanaamini kuwa Maza ana nia njema....
Yah right, the 4Rs....!!
 
Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu.​

Kama hakuna hofu ya kushindwa . Kura feki zinapatikana vipi?
Na hup ni uchaguzi mdogo tu.

Mkwere anajifanya yuko smart.

Chaguzi walizoshinda kwa haki toka 1995 ni 2000 na 2005. Nyingine zote ni wizi wa kura.
 
Back
Top Bottom