Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

Young girls of 4 and 10 years old wamelawitiwa but nobody cares kuliko old dudes with 34 and 27 years banging each other. Mmerogwa haaa.
Hey LIKUD you think your kids are safe cause wapo government schools heheeee tukisema mnatutukana kweli kweli as if mnajua uhalisia. haya kiko wapi
Hapa ndio ujue jamii yetu wanaharibikia ukubwani kama matikiti, yaani 4 & 10yrs girls wamedhurumiwa utoto wao ila they have been ignored by people wa humu na matokeo wanajidiliwa watu wazima walio amua kwa hiyari kula na kuliwa mindukuu
 
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Issa Suleiman, amesema tukio hilo lilifanyika Januari 2025 katika nyumba ya kulala wageni (jina limehifadhiwa) ambapo Dickson Tamba aliruhusu kuingiliwa na Mohamed Ally Kajao, kisha kunakili picha mjongeo (video) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Anatokea visiwani?
 
Young girls of 4 and 10 years old wamelawitiwa but nobody cares kuliko old dudes with 34 and 27 years banging each other. Mmerogwa haaa.
Hey LIKUD you think your kids are safe cause wapo government schools heheeee tukisema mnatutukana kweli kweli as if mnajua uhalisia. haya kiko wapi
nakumbuka wewe uliwahi kujieleza kabisa kwamba umezaliwa mwanaume na unashiriki na umeanza kufir.wa at the age of 20 yrs old. haujasoma ST. LIKUD na bado unafir.wa, acha kutupaka matope watu wa ST.LIKUD
 
#bahariaNEWS- Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja.

Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Februari 12, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Issa Suleiman, amesema tukio hilo lilifanyika Januari 2025 katika nyumba ya kulala wageni ambapo Dickson Tamba aliruhusu kuingiliwa na Mohamed Ally Kajao, kisha kujirekodi video na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

#bahariaUpdates
 
Weka japo picha ya kwenye gazeti tumuone huyo Dickson Paul Tomba
 
Hakuna mapenzi ya jinsia moja, musipunguze ukali wa maneno.

Hapo amekamatwa na kujihisisha na Ushoga.
 
Miaka 34 Kwa miaka 27

Pata picha miaka 30 ijayo hali itakuwaje kwa Vijana wetu wa kiume na Kike

Na unadhani hali itakuwaje kwa mabinti zetu kama Wanaume wenyewe ndiyo hawa ili isimame ni hadi waone makalio 🙌

Kweli Wazungu wametuweza, badala ya kupenda Kei watu waanze kupenda makalio🥲
Ni ushetani sana
 
Back
Top Bottom