Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

Hapa ndio ujue jamii yetu wanaharibikia ukubwani kama matikiti, yaani 4 & 10yrs girls wamedhurumiwa utoto wao ila they have been ignored by people wa humu na matokeo wanajidiliwa watu wazima walio amua kwa hiyari kula na kuliwa mindukuu
 
Anatokea visiwani?
 
nakumbuka wewe uliwahi kujieleza kabisa kwamba umezaliwa mwanaume na unashiriki na umeanza kufir.wa at the age of 20 yrs old. haujasoma ST. LIKUD na bado unafir.wa, acha kutupaka matope watu wa ST.LIKUD
 
#bahariaNEWS- Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja.

Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Februari 12, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Issa Suleiman, amesema tukio hilo lilifanyika Januari 2025 katika nyumba ya kulala wageni ambapo Dickson Tamba aliruhusu kuingiliwa na Mohamed Ally Kajao, kisha kujirekodi video na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

#bahariaUpdates
 
Weka japo picha ya kwenye gazeti tumuone huyo Dickson Paul Tomba
 
Hakuna mapenzi ya jinsia moja, musipunguze ukali wa maneno.

Hapo amekamatwa na kujihisisha na Ushoga.
 
Ni ushetani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…