Democracy999
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 945
- 189
Jamaa kumbe mshenzi alikuwa, Rais wa Libya aliepinduliwa Muammar al Ghaddafi alikuwa na katabia ka kuwaibia wake zao na watoto wao Marais wenzake, na mara nyingine hapo hapo wakiwepo ziarani, au anamtumia ndege wakirudi kwao.
Kibaya zaidi ni mshenzi, ana tabia ya kuchafua makusudi kabisa.
sio wake tu, hata watoto wadogo, wawe wa kike au kiume.
Alikuwa halali usiku, ni Uvutaji wa sigara, kunywa Whisky na Kuvuta Unga na aletewe malaya (mtoto mdogo) akamnyanyase ndio hoby yake.
sio umbea, tafuteni online vitabu vipo,
Gazeti la kifaranza la LE MONDE lilimhoji mmoja wa wahanga mwanafunzi anaeitwa SAFIA, na mwingine aliekuwa na miaka 13 tu.
kitabu kilichoandikwa na ANNICK COJEAN; LES PROIES, DANS LE HAREM DE KHADAFI.